Yaani uhuru wako unataka lema na lissu ndio waje waupambanie? Unatofauti gani na watumwa wa zamani?Kwanza warudi bongo tupambane pamoja huyu LEMA kahamisha hadi house girl wake wanakaa sjui Canada mm hata Kula yangu siijui
Naipenda chadema ila kupelekeshwa sitaki warudi bongo tupambane pamoja kimtoa mkoloni mweusi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hio ukisusa a kutuma elfu 10 ili usikatwe makodi ya kipumbavu ni kitoto?Ila ukitafakari nje ya box utagundua kususa ni utoto.
Hivi Tanzania kuna upinzani kweli.Mbona wanaanza kupotea kwenye mawazo ya watu.Sioni possibity ya kitu kama hicho kufanikiwa, ingawa swala chanjo linaweza kuingiza sumu mbaya.Ipo sintofahamu kubwa kwenye chanjo!Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Hujaambiwa ususie. Hujaelewa hoja yao. Wanakuambia kama kweli una nia ya kutaka serikali iwe sikivu na yenye kujali malalamiko ya wananchi wake, basi japo punguza baadhi ya vitu ambavyo sio vya lazima. Kwa mfano unavuta sigara 6 kwa siku. Amua kuvuta 3 tu. Au kama unakunywa bia 4 kwa siku na unaenda bar, basi amua kunywa bia 2 kaa zako home na familia.Naichukia CCM Sana, sitakuwa upande wao. Ila hili la kususia huduma au bidhaa ni wazo ambalo haliwezekani
Sijui kwa nini wamewaza hivyo, inapaswa kuwaza na kufanya Yale yanayowezekana
Ni wazo zuri sana sasa tukubaliane ni bidhaa ipi. Napendekeza tususie pombe kwa mwezi wote wa August.Nipo Space ya Maria Sarungi ambapo baadhi ya makada wa CHADEMA na Wanaharakati wanajenga hoja juu ya kususia bidhaa na huduma mbalimbali ili kuikosesha serikali mapato.
Wanaanza na kutoa historia ya Boycotting ambapo kwa wakati fulani, watu wa Uingereza walikuwa hawapendezwi na biashara ya Utumwa. Ili kuukomesha, wakaacha kutumia Sukari ambayo ilikuwa ikitengenezwa na Watumwa. Na hivyo ikasabisha kiwanda kufungwa kwa sababu bidhaa hazitoki.
Wanasema kuwa, jamii ya Watanzania wakipunguza matumizi ya bidhaa na huduma kama vile unywaji wa Bia, kupunguza matumizi ya sukari, maji ya kunywa, kupunguza miamala isiyo ya lazima na vyakula katika hoteli zilizosajiliwa.
Wanaamini kuwa kupunguza huko matumizi ya huduma na bidhaa itasababisha serikali kukosa kiasi kikubwa cha mapato.
Na kukosa huko mapato itasababisha serikali ishindwe kujiendesha kwa sababu mapato yamepungua. Na bila shaka, kutafuta namna ya kukaa na wadau na kuzungumza nao ili kuweza kutatua yaliyomo.
Wanaamini kuwa, njia hii ya kususia bidhaa na huduma 'Boycotting' itakuwa na ufanisi kwa sababu hakuna polisi watakaokuja kuwalazimisha watu watumie.
Wanaona kuwa njia hii ni ya amani na hivyo itawalazimisha serikali kurudi katika Misingi ya Utawala bora na kuleta uchocheo wa Katiba mpya.
Je, CHADEMA watafanikiwa kwa njia hii?
Maendeleo ya kujengea viongozi waliostaafu mahekalu na kuwapa magari? Hayo maendeleo ya viongozi wanaokaa maofisini na kujinunulia maVXR hatuyataki.Hao wapumbavu wa twitter nani ana habari nao? Tukisusia watatuletea maendeleo?
Ni
Ni wazo zuri sana sasa tukubaliane ni bidhaa ipi. Napendekeza tususie pombe kwa mwezi wote wa August.
Umesikiliza au huna masikio unataka kutafuniwa?Ni wapumbavu kwa mfano wamesema watasusia bidhaa zipi na zipi sasa?
Wana nini cha kupoteza hata wakiamua kuunga juhudi za ccm.?Sarungi mtoto wa kiongozi mstaafu, Fatma Karume mtoto wa familia ya viongozi,vijana masikini pambaneni kusaka fursa hivyo vibibi vina kilakitu kwenye familia zao.
Mkuu ccm hawawezi kufanya hivyo maana wanajua madhara yake
Ukianza kususa hautoishia hapo, utaleta uhasama
Mwisho wa uhasama ni nini mkuu!
Yaan nimecheka kweli .Hao wapuuzi wa kwenye kiboard unawasikiliza halafu unatoa ushauri.Kwa hiyo nchi yote ni cdm.?Tunakubali kuwa cdm wapo.Lakini ccm pia wapo tena wengi sana.Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Hiki ndicho Chadema wanachokipazia sauti?Mtaani kwenu wanalipa tozo za miamala pia?
Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Na ikitokea ikawa na mwitikio, watu wataona matunda yake ambayo ni kuwa na akiba ya kutosha maana watakua wamepunguza matumizi yasiyo ya lazimaNadhani anayesema nhaya ni mtoto maana hata faida ya kusave hela haijui i ststed serikali haitaoata hela zangu kizembe.
Hujanielewa! Au pengine misamiati iliyotumika kwenye sentensi yangu ni mipya kwako.We ni mjinga sana inamaana huon serekali haitumii jukwaa huru kushinda na chadema alafu unawatuhumu wameshindwa kwa hoja, Tanzania ina wajinga wengi na watu wasiojielewa
Huwezi sema wameishiwa mbinu nawakati mwenzako anacheza faulu wazi wazi hakuna uwanja huru huwez walaumuHujanielewa! Au pengine misamiati iliyotumika kwenye sentensi yangu ni mipya kwako.
Ukiambiwa umeishiwa mbinu dhidi ya mpinzani wako ina maana umeishiwa hoja?
Ukiambiwa akili yako imeshastaafu dhidi ya mpinzani wako inamaanisha umeishiwa hoja?
Nenda taratibu usome na uelewe vizuri.
Samahani, sijajua unachokusudia!Yule dem ulimlipa?
Huko ndiko kuishiwa mbinu!Huwez sema wameishiwa mbinu nawakati mwenzako anacheza faulu wazi wazi hakuna uwanja huru huwez walaumu