Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Haina impact hapa bongoAcha kupuuza Social Media Ndugu ..
labda wale wa online republic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina impact hapa bongoAcha kupuuza Social Media Ndugu ..
Sio ugali tu Mimi binafsi nimeshawishi kuanzia bibi babu mama na baba waache kutumia voda kwa sababu ni mtandao wa kinyonyaji na nilifanikiwa wote wanatumia airtel.Na wewe unaamini wametengeneza hasara?
Na hata kama wametengeneza hasara ni kwa ajili ya uzembe wao.
Mfano mimi mwaka jana sikuweka salio kabisa sababu ya ughali wa vifurishi vyao.
Wakati maskini tunawaza hivi matajiri wanawaza watatukamuaje hela! So mambo kwa ground ni different
Acha kupuuza Social Media Ndugu ..
Mambo ni fayaHili halitafanikiwa Mkuu.
Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
Hawatumii sababu ya ghalama zao na hata mimi nmekwambia mwaka jana wote sijaweka salio sababu ya ughali wa vifurushi vyao!Sio ugali tu Mimi binafsi nimeshawishi kuanzia bibi babu mama na baba waache kutumia voda kwa sababu ni mtandao wa kinyonyaji na nilifanikiwa wote wanatumia airtel.
Mbona ccm inatumia mabomu na polisi? yenyewe bado ina mbinu ya kupambana na CHADEMA?Hili halitafanikiwa Mkuu.
Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
Hii ni ndoto! Na muotaji pekee ndiye anayedhani ni mazingira halisi.Subiri uone mamilioni ya raia wakubali kujinyima kununua huduma na vitu fulanifulani ili kuinyima serikali kodi, hapo ndo utajua mbinu ya economic boycott inafanya kazi au la!
Bongo Ya Zamani hilo wazo halikuwahi kuwepo....Kwanini sasa/Leo?!!Haina impact hapa bongo
labda wale wa online republic
Alipotekwa Dr Ulimboka tulihamasihwa kususia mtandao wa Vodacom kwa kuwa iliaminiwa watekaji wake waliwasiliana kwa kutumia mtandao ule. Hatukuona impact yake. Ben Saanane alivyotoweka tulihamasishwa pia kuisusia Vodacom kwa kuwa alitishwa kwa kupitia mtandao wa Vodacom, ajabu wanaotuhamasisha wao wenyewe wanaendelea kuwa wateja wa mtandao huo.Haina impact hapa bongo
labda wale wa online republic
Mambo ni fayaView attachment 1877791
Mbona ccm inatumia mabomu na polisi? yenyewe bado ina mbinu ya kupambana na CHADEMA?
Mtu aliyekosa mbinu anaweza kufunguliwa kesi ya ugaidi ?
CCM wameshachoka kufanya siasa wanasubiri muda tu waondokeHahahaha a good one Mkuu. [emoji1417] Kwa akili yake finyu mbinu za maccm za kubambikia kesi FEKI, kuuwa na kuzuia maandamano na kukataa katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni AKILI KUBWA.
Sasa hivi Chama cha CHADEMA kiko katika existential threat, kwa hiyo wanachama wake na wapenda demokrasia ndiyo watakaoshiriki kwenye boycott za kiuchumi zaidi kuliko nyie wana CCM. Nyie wana CCM na waunga mkono udhalimu mnaweza kuendelea na maisha yenu kama kawaida, lakini sisi wapenda demokrasia tutapunguza spending ili kuinyima serikali kodi mpaka pale serikali itakapokuja kwenye meza ya mazungumzo!Alipotekwa Dr Ulimboka tulihamasihwa kususia mtandao wa Vodacom kwa kuwa iliaminiwa watekaji wake waliwasiliana kwa kutumia mtandao ule. Hatukuona impact yake. Ben Saanane alivyotoweka tulihamasishwa pia kuisusia Vodacom kwa kuwa alitishwa kwa kupitia mtandao wa Vodacom, ajabu wanaotuhamasisha wao wenyewe wanaendelea kuwa wateja wa mtandao huo.
Hawa watu hawajifunzi?!
Mbowe na Chadema wanapambana na CCM si kwa kutumia nguvu ya raia bali kwa kutumia unafasi wa Chama chao.Mbona ccm inatumia mabomu na polisi? yenyewe bado ina mbinu ya kupambana na CHADEMA?
Mtu aliyekosa mbinu anaweza kufunguliwa kesi ya ugaidi ?