Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

Mmmmh wasap tena
Anasumbuaaa wqnaume wanqkuja hakuna lq maanq unasema wqkqtqfakqri jinwi kumaliza mgogoro.....toa matamko ya kibabe ...M23 watoke Goma ..Rwanda atoe askari wake DRC....
 
Haukuwa mkutano wake Bali wa EAC.

Atoe msimamo thabiti kwani Tanzania ndio Iko kwenye mgogoro au inampangia nani?

Atoe maagizo kwani anamuagiza RC au Waziri? Huna akili Wala hujui diplomasia

..Ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC na hakueleza jambo lolote jipya.
 
Hapa alikuwa anasoma alichoandikiwa, tuwekee clip alichokuwa anakitoa kichwani kwake pasipo kusoma hotuba!
Wewe na mtoa mada ni mbumbumbu wa mwisho.

Juzi hapo alikuwa anaongoza mjadala wa Nishati Africa na mara nyingi Huwa anakuwa Mwenyekiti mwenza Huwa humfuatilii?

Unadhani Samia ni wale wa Thee thee 😁😁
 

Hizi ni kama alikuwa anasoma hadithi za fisi na sungura kuhusu maisha Yao Alitakiwa anyooshe maelezo na siyo kuzunguka.Mfano mzalendo kagame alisema ili vita iishe lazima DRC iongee na waasi wa M23.Huu mkusanyiko haujaleta tija yeyote zaidi ya kuleta kero Kwa watanzania Kwa kufungwa njia zote muhimu Dar es salaam
 
Anyooshaje? Nyoosha wewe tuone mfano.

Rais hawezi ropoka kwenye mkutano wa KiDiplomasia na unaohitaji suluhu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ angekua kaongea point, vitu vya maana tayari ungeshaona hapa Chawa wake Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wangepost uzi hapa jukwaani.

-Tatizo ni uwezo mtu wangu yaani competency upstairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…