Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Gharama ya huo msafara ni zaidi ya gharama za mbio za mwenge. Insecurities na udikteta una gharama kubwa sana kuuishi
 
Maskini hata siku moja hajali muda.
 
View attachment 1390212

CONVOY YA TRUMP INA GARI 14 tu, AFRICA KUNA MAAJABU SANA 🤣🤣🤣🤣



Sent from my iPhone using JamiiForums
Picha aliyotumia mleta mada kuu (thread) sio ya msafara wa leo.
Hiyo ni picha ya mitandaoni tu, ilishatumika na watu wengi toka miaka ya nyumba kwenye habari tofauti.

Kwanza magari yalitumika leo kwenye msafara wa Mh. Raisi ni Toyota V8 wakati hayo kwenye picha sio Toyota V8.
Picha hiyo pia ilitumiaka mwaka jana 2020 alipoenda kuzindua mradi wa bwawa la umeme.
Angalia screenshot picha ya twitter

 
Kipindi hiki cha dot.com utawala ni kazi. Hata uwabebe watasema unajitikisa mno unapotembea. Wote wajuaji, wote wataalam. Wote wanaharakati. Wote ni waungwana. Wote ni wapenda amani . Wote wapigania haki na uhuru.
Sasa wafuate maisha yao nyuma ya keyboard. Utajua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiifanye kuwa ya kawaida. Alipokuja Obama tulisema vike vile. Lakin8 tukaelewa kwa sababu ni mgeni na ya kwao tunawaachia. Huu hapa kwetu kwa Marais wetu ni utamaduni mpya ndiyo maana watu wanashangaa na kusema!
 
Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Wrong!

JF platform is overwhelmingly a fierce critic of the government. A member will never lose popularity for lambasting the president.
 
Acha upumbavu hayo ni matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa kodi za wananchi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh, kwani hapo alikuwa wapi, na je aliambatana na watu wa aina ipi, kama hizo zote zilikuwa kwa ajili ya Mhe. Rais, wengine walikuwa kwa miguu?
 
Mimi sijui mkuu.
Ni vile nimemuomba aliye ingizia taarifa za roho ya Ben atujulishe na kutusaidia kutoa taarifa polisi.
acha nao vibwengo wa BAVICHA saa hizi Rais keshapita Kiyegeya na msafara wake na kesho Daraja litakamilika kwani keshawafukuza Mainjinia wote 12 wa Tanroad Morogoro
 
Hivi ukiunga kwa nyuma yake ili usisimamishwe na trafiki Kuna shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…