Ukafanye kazi, mwenzio yupo kazini
Huyo ni mwehu achana nae, anadhani Rais ni mtu mmoja, amesahau ile ni Taasisi...Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Tena yule wa USA alipokuja aliingia hadi na mbwa kunusa ikulu yetu lakini mibavicha haikusema kitu zaidi ya kusifu ulinzi wa wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa....... ndio maana anashangaa msafara wa magari 53!Kipindi kile unafanya kazi ya kupika chai buffet ndani ya trc
In God we Trust
Nyie wajinga sana, hivi serikali haijui kuwa ninyi na magenge yenu ya uharifu mnachopanga, idiot wakubwa, tena juzi tu hapa mlivyowasahaurifu na wapumbavu mlishangilia kuhusu kuugua rais. Acha alindwe maana taasisi ndiyo inaamua ulinzi na siyo rais as individual
Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa
Malaya wa BAVICHA, nani kwa kuambia JPM ni muoga. Mtaongea sana huyu bado tuko sana.Hili li jamaa lioga hadi kero
I wish we meet in full command! Ndo utaelewa kuna watu na vikaragosi. Utatembelea kidevu.Hata kazi yako ya kuramba viatu ni kazi pia
In God we Trust
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Silaha gari nzima hofu nini tz kisiwa cha amani!
Nilitaka kumuuliza ni dunia gani anaizungumzia mleta mada!Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Tukutane wakati wa kurudi hapa msamvuI wish we meet in full command! Ndo utaelewa kuna watu na vikaragosi. Utatembelea kidevu.
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Si unajua maskini na mshamba akipata mataako yana jamberjamberAmbulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Mitambo ya kutengeneza screen protector za majiKila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambulances za nini? Uko serious kweli?Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??