Niwe mkweli jamani mi naangaliaga sana hizi channel zao na kuhudhuria pia....wachaga wamejazana sana kwenye haya makanisa[emoji848]Hapo na wachaga naomba unifafanulie kwakweli.
Halafu kuna ambao shule ipo lakini nao wahanga vilevile.
Kweli issue ya mafuta kakamata wengi. Alikua anatumia pia wamama kutafuta waumini. Siku nasikia kunagongwa natoka nawakuta wanaanza kunihubiria. Nikawaambia mimi mambo hayo sitaki wakajiona kama ndio wanafika mbinguni na mimi naenda motoni. Nikawaambia sepeni kabla sijafungulia mbwa. Walinikata jichoSema ulokole ni kama katrend. Ila mwamposa anakula vichwa bwana, nilikuwa mwaka 2018 naishi sehemu mmama flani lishangazi jirani yangu Mwsilam ila anaenda kwa mwamposa kukanyaga mafuta. Sio kwamba alikuwa kaacha kuswali, ila alikuwa anaenda kwa mwamposa pia.
Yule jamaa inabdi aanze kutulipa kodi
Yani kuna sometimes ananiambiaga vitu nabaki haaa, nikipingana nae anasema siwezi kuelewa maana ni kiroho zaidi, na mimi namwambia sawa sista yani hujakosea niombee tu siku moja ntaelewa na yeye haiishi kuniombea.Hii ya kushuku kila mtu mwanga ni kweli 😂😂
kuna vitu vingine havipo hata kiroho ila mtu atalazimisha maana kashajengewa hisia za kila kitu ni adui na anatakiwa kupambana navyo.
Inategemea unaamini nini. Unamuamini Mungu au zidumu fikra za baba mchungaji [emoji2957]
Maana unakuta mtu hajala pesa yote anampa mchungaji kwamba itarudi mara 10. Si bora upeleke hospitalini.
Lile limama serikali ililipelekesha mpaka likaacha mauzauza yake!Anzisha wewe fursa inakupita. Ila usije kuwa kama baba god wa mwanza. Hivi yule wa mwanza aliewaaminisha waumini wake kuwa yeye ni mungu sijui zumaridi aliishia wapi? Sijui hawakusanuka baada ya mungu wao kufungiwa na serikali wakajua kuwa yuko weak?
Tobaa!naye kawa nabiiHumuoni mc pilipili kaona kushinda kwenye maharusi anapoteza mda kaona awe nabii na yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Likikapu likubwa liko mbele kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
Jamani huwaga nacheka mpaka tumbo linauma
😂😂 naelewa situation yako, cha msingi anakuombea hayo mengine muachie maana hakuna marefu yasiyokuwa na nchaYani kuna sometimes ananiambiaga vitu nabaki haaa, nikipingana nae anasema siwezi kuelewa maana ni kiroho zaidi, na mimi namwambia sawa sista yani hujakosea niombee tu siku moja ntaelewa na yeye haiishi kuniombea.
Bahati ana kanisa kimara? Ana kondoo wa kutosha? Au ndio tia maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli hii ni fursa aisee.
Sema ukikamatwa wakamatwa haswaa. Na bahati bukuku ana kanisa lake huku.
🤣🤣🤣🤣 Watu hapo uwa wanaona wako perfect. Hata mimi kuna mama flani alikuwa ananishawishi niende kwa mwamposa, wakati yeye maisha yake yanazidi kuwa magumu kuliko yangu.Kweli issue ya mafuta kakamata wengi. Alikua anatumia pia wamama kutafuta waumini. Siku nasikia kunagongwa natoka nawakuta wanaanza kunihubiria. Nikawaambia mimi mambo hayo sitaki wakajiona kama ndio wanafika mbinguni na mimi naenda motoni. Nikawaambia sepeni kabla sijafungulia mbwa. Walinikata jicho
Yupo nabii flora, ana waumini hapa nikipita jpili naona wanaingia tu. Sema sio wengi kama akina ngwajima.Lile limama serikali ililipelekesha mpaka likaacha mauzauza yake!
Ila kuna watu wanajua kujichetua eti mi mungu[emoji23][emoji38][emoji38]
Mama alikuwa anajikwatua hataree!
Hivi frola wa salasala yupo?
Mimi naona wenye imani hizo za kupitiliza ni wanaosali makanisa ya kiroho. Na wale wanaamini mtu zaidi sio Mungu. Mtu anakwambia baba mchungaji kasema wote tufunge ole wako usifunge. Sasa mtu atanilazimishaje kufunga jameni wakati tumbo ni langu.Hata imani ikikithiri huwa kuna tatizo tu. Ushakutana na watu wenye misimamo mikali na imani zao ??.., hata ndugu yake wa damu anaweza kumtenga kwa kuwa haamini anachokiamini
Hiyo ya kupokea gari na nyumba pia ni kawaida maana wachungaji wanapowakamata ni sehemu moja tu. Kuwa umaskini wako umesababishiwa kwa hiyo ukiomba tu mambo yatanyooka hata kama ni mvivu na hustle huweki
Very true dear...sio akili za kawaida!Nahis wanatumia ndumba za hallucination maana mtu kwa akili zako timamu huwez kubali kupigwa na watu kama hawa.
Huko nako mara nyingine wanaambiwa hivohivo.ila bora huko kuliko kwa waganga ambapo utaskia mama au baba yako ndio kakuroga. Kaka zako wamekuibia nyota ndio maana hufanikiwi
Wifi na mama mkwe wako wamekufunga kizazi. Mimi naona ni kheri tu waendelee kwenda kula keki na kukanyaga mafuta kwa mwamposa
Analo lingine huku sijui maeneo ya mbweni lilizindukiwa mwaka jana nadhani. Dadangu alienda sali huko mara kadhaa maana eti mama yake wa kiroho ni mchungaji pale 🤣Bahati ana kanisa kimara? Ana kondoo wa kutosha? Au ndio tia maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hela ya bure bure hiyo...sema siwezi kutumia jina la Mungu kwenye utapeli asee, bora nikae masikini
Sasa madam, inakuwa sio sawa umuite mwanamke mwenzio dear wakati kuna wanaume tuko na dear deficiency.Very true dear...sio akili za kawaida!
Na hii unadakwa mwanzoni kabisa ukiingia makanisa yao!
Ndo maana hushauriwi kuingia hata kama unaenda kuwachora[emoji23][emoji38][emoji1787]( mi nilikuwa na hii tabia mshua wangu akanikataza )
Alikuwa anajaza balaa[emoji16][emoji16]Yupo nabii flora, ana waumini hapa nikipita jpili naona wanaingia tu. Sema sio wengi kama akina ngwajima.
Mama aliona watu walianza wanajiita wachingaji wakaona haitoshi wakaja mitume sasa ngoja awahi ajiite mungu kabla hawajamuwahi