Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Sasa mwenyewe mbona hujaeleza kitu. Kama msimamo wake kisheria na kiitikadi ni uleule kwa nini asiwe na mawazo yaleyale. Mkapa mwenyewe anajuta kwa jinsi aliendesha ubinafsishaji lipi linakufanya uone kwamba shifji alikosea kuhusu kupinga ubinafsishaji. Mashirika mangapi ubinafsishaji ulifaulu na mangapi ulifeli wewe unajua?
Hili la kukodisha bandari ni sawa na kuuza tu bandari zetu wala hamna ubishi. Vifungu vingi vinastaajabisha kwa jinsi ni ubeberu na ukoloni mkongwe.
 
Hao kina baba revo ndio wale hawaoni tatizo mama alivyosema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo
 
Hakuna anayepinga uwekezaji, ila kwetu sisi malkia juha hajabinafsisha, AMEUZA MILELE na hatapata kitu
 
It's very funny, Mkapa mwenyewe alikiri sera za ubinafsishaji ni moja ya makosa makubwa aliyofanya enzi za utawala wake.

Leo anazuka mtu anasema era ya Mkapa ilikuwa successful kwenye ubinafsishaji.

Nani wa kumsikiliza hapo.
 
Nilikuwa najuaga una uelewa mkubwa kumbe kichwani hauna kitu kiasi hiki.
 
wewe kiazi kweli, niache kumsikiliza legal puritan kwenye sheria, nisikilize propaganda? dah kweli aliyewatengeneza vijana kuona siasa ni chanzo cha uchumi na kushindwa kufanya kazi za kujitafutia riziki na kuwafanya wawe machawa ana laana sana. na alaaniwe kizazi chake chote. a sirious matter in the country unaleta siasa za kijinga na propaganda ushenzi.

zoja za kisheria za mikataba za uwekezaji sio za shivji,
 
Halafu Shivji hajuwi kabisa biashara. Hata sheria na kanuni za biashara hazijuwi kabisa, nimemsikiliza akiongea.

Yule Mzee wamchukuwe aongee mambo ya siasa ya ujamaa tu. Zimepitwa na wakati.

Huyu mzee ni katika watu walioishindilia misumari ya umasikini Tanzania.
 
aliyewafanya vijana wa CCM waamini kuwa siasa ni chanzo cha uchumi, ndio kawaaribu, haya endelea utafika mbali
 
aliyewafanya vijana wa CCM waamini kuwa siasa ni chanzo cha uchumi, ndio kawaaribu, haya endelea utafika mbali
Sasa hivi Serikali ya mama imeshaamuwa haitaki kufanya biashara, Biashara tufanye watu binafsi. Simpo.

Huwezi kufunguwa biashara biasghara halafu ukawa na masheria kibao ya ukitimba, futa futa yoye hayo,
 
ndio auze rasilimali tanganyika na kuacha kwao zanzibar?
 
Tanzania ya ajabu kweli utakuta mtu hata degree amemaliza Kwa huruma za Dr Fulani ,lakini ana hoji uelewa wa profesa .Ungekuwa umesoma ungeelewa kwanini ma profesa duniani wachache ,Je unajua kwanini ukoo wenu hakuna professor?UPROFESA SIO MAKALIO.
 
ndio auze rasilimali tanganyika na kuacha kwao zanzibar?
Wewe kwendaa zako huko, wewe unajuwa hata maana ya neno rasilimali.

Kwanza jifundishe ni nini maana ya maneno "asset" na "liability". Halafu urudi uje kuongelea rasilimali.

Huwa mnabwabwaja tu na kuhororoja bila mpango, wewe unafanya biashara ipi sasa hivi?

Punguani wahed.
 
ndio auze rasilimali za tanganyika na kuacha za kwao zanzibar,

mwambie akajifunze asset na liability zako ndio auze zanzibar
 
Wanaounga mkono nao mpaka hivi sasa tunachokiona kutoka kwao siyo hoja bali ni picha za mitandaoni, wakiwa kwenye ndege na mahotekini au shoppung malks huko Dubai. So, unapendejeza tuwafuate hao?
 
ndio auze rasilimali tanganyika na kuacha kwao zanzibar?
Zanzibar alishauziwa Hussein Mwinyi wa kutokea Mkuranga zamani, umelala nini? Wewe mwenyewe unauza, umekosa soko nini leo? kuna kijana rijali akaongea utumbo namna hiyo.
 
Wanaounga mkono nao mpaka hivi sasa tunachokiona kutoka kwao siyo hoja bali ni picha za mitandaoni, wakiwa kwenye ndege na mahotekini au shoppung malks huko Dubai. So, unapendejeza tuwafuate hao?
Wewe ulitaka vipi?

U-Tushirikiane na Dubai wakuletee picha za Dodoma?
 
Zanzibar alishauziwa Hussein Mwinyi wa kutokea Mkuranga zamani, umelala nini? Wewe mwenyewe unauza, umekosa soko nini leo? kuna kijana rijali akaongea utumbo namna hiyo.
jibu swali, bandari ni muungano, mbona zanzibar haijauzwa? Ndio akomae na Tanganyika, mwambieni arudishe ten percent alizopewa asisumbue wanasheria hadi wanaonekana wajinga kwa ujinga wa mtu mmoja
 
jibu swali, bandari ni muungano, mbona zanzibar haijauzwa? Ndio akomae na Tanganyika, mwambieni arudishe ten percent alizopewa asisumbue wanasheria hadi wanaonekana wajinga kwa ujinga wa mtu mmoja
Umehaelewa maana ya "asset" na "liability".

Tanzania maana yake nini?
 
Wewe ulitaka vipi?

U-Tushirikiane na Dubai wakuletee picha za Dodoma?
Kwani kwa mjadaa unahitaji picha au hoja? Na hizo pucha si ni afadhali zingekua za site, sasa picha za watu wanaobebana hotelini zina maanisha nini? Au zinahusiana vipi? Au zinajibu maswali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…