Kama ni hivyo tungeanza na Serikali kabisa, tutafute mwekezaji wa kuiendeshaWatanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa
Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....
Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...
Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..
Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..
Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....
Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..
Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..
Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu...
Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
Sisi hatumjadili Shivji, sisi tunajadili HOJA za Shivji kuhusu uuzwaji wa Bandari yetu ya salama kwa waarabu.
Bwege tu huyo.Unajishushia heshima
Buchosa , Kanda ya Ziwa Jana wameandana wanapinga bandari KUUZWA na wanataka SSH ajiuzulu huko ni VIJIJINI wanauelewa huoSasa hivi Serikali ya mama imeshaamuwa haitaki kufanya biashara, Biashara tufanye watu binafsi. Simpo.
Huwezi kufunguwa biashara biasghara halafu ukawa na masheria kibao ya ukitimba, futa futa yoye hayo,
Zee jinga sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Mkuu hii ndiyo response yako juu ya tofauti kati ya MKATABA na MAKUBALIANO? Nilikuwa najua umejipanga unajua unachoandika, na ungetupa soma la kisheria la mambo ya IGA na vitu kama hivyo. Kumbe na wewe hujui lolote?
Nina uhakika asilimia 100 hujasoma kitabu cha Mkapa ila umesikia watu na wewe ukasema.It's very funny, Mkapa mwenyewe alikiri sera za ubinafsishaji ni moja ya makosa makubwa aliyofanya enzi za utawala wake.
Leo anazuka mtu anasema era ya Mkapa ilikuwa successful kwenye ubinafsishaji.
Nani wa kumsikiliza hapo.
Nomaa..Umesema vitu jumuishi bila kurejea vifungu alizosema Shivji...wewe utakuwa mnufaika wa DPW
Mzee umeandika upupu Hakuna Point Hata moja Hapo. Kwani TANZANIA inafaidikaje na ubinafisishaji wa mabenki.Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....
Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...
Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..
Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..
Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....
Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..
Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..
Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu...
Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
Msikilize huyu mwambaMiaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Hayo anayojutia Mkapa kwenye kitabu chake haudhani kwamba we're repeating he same mistakes? Kwamba kwa huu uwekezaji Samia in the near future hawezi kuja na same stories?Nina uhakika asilimia 100 hujasoma kitabu cha Mkapa ila umesikia watu na wewe ukasema.
Mkapa hajuti kufanya privatization, bali anajuta kuwapa baadhi ya watu kampuni bila masharti ambao walitumia Uwekezaji kujinufaisha Binafsi.
Alitolea mfano kiwanda cha matunda korogwe mwekezaji alipopewa aling'oa mitambo na kuweka kwenye kiwanda chake Dar es salaam, laiti kwamba kwenye makubaliano wangeweka lazima kiwanda kiendelezwe pale pale haya yasingetokea.
Hizi ni Baadhi ya Quote toka kitabu chake
"We just disposed of the entity and then left it at that. We should have had a mechanism for monitoring what was going on in these privatized industries,” he added. However, Mkapa regarded mischiefs of the privatization as challenges alongside some success stories and did not allow going back, believing that the decision was right"
"There was no option but privatization really. Enterprises should have been making money and helping with government revenue, yet they were dependent on government handouts. People were fed up with those parastatals which were taking money out of the treasury, instead of generating money for the treasury. Some socialist ideologues were uneasy, but no-one could offer an alternative. What else was there to do other than to try to find businesses to partner with, or to sell these enterprises outright?”
“We had reached a point where many of the pastatal enterprises were looking to the government for subsidies to keep operating, yet these were supposed to be business enterprises,”
So long story short ni kwamba Mkapa anajivunia uwekezaji, ila pia Ana self criticism kwamba hakufanikiwa Asilimia 100, ila kusema Mkapa anajuta Uwekezaji huu ni uongo na maneno hayo hayapo kwenye kitabu chake watu wana copy tu paragraph moja na kuchukua maneno out of Context.
Angetetea udokozi ungemuona shujaaMiaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....