Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Piga Maji mengi ya kutosha mwili utakuja kukushukuruBia hunywi, na soda nayo aaahh bwana weee.
Mkuu nazo zina madhara ila nitakupa faiada zake na hasara zake pia nitakupa mbinu na matumizi ya kuzila kiafya.Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Wewe unaonekana bado ni msichana.Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Weeee...me bonge la mamaWewe unaonekana bado ni msichana.
Ndo wale unataka awe na ndevu, gari, iPhone na awe ananukia Perfume muda wote😃
hewa unayovuta Ina simu pia Cha msingi baada ya kutumia hiyo shushia na glasi ya Gongo nambari oneHuu nao ni URAIBU mbaya sana
Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...View attachment 3463400
Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..
SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA
1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)
Haya kazi kwako .
Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.
Asili huponya
Hii kitu acha kabisa, ina uraibu mbaya sana halafu inamaliza pesa maana ni expensive. Hiyo pakti moja haitoshi kabisaMie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Hapana haiwezi kusababisha kisukari wala shambulio la moyo.Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Haswaaaa. Hakuna kitu ninaficha nikinunua kama chocolate. Sitaki mtu azione nakula mwenyewe tu. Zinatia hasara. Imagine bar kama hii 25K..si nishapata chajio hata cha siku 3 hapoHii kitu acha kabisa, ina uraibu mbaya sana halafu inamaliza pesa maana ni expensive. Hiyo pakti moja haitoshi kabisa
Wow! Nikija Zanj ni-host please.Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Karibu, kama kweli hutanii lakiniWow! Nikija Zanj ni-host please.
Ahsante.Karibu, kama kweli hutanii lakini
Ndiyo wewe kwenye avatar?Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Iyo hewa ina sumu ila Kuna vichuja vyake ndio mana hailet asal kubwa,maviwandan uko sawa alafu kamnyweso kamefata nin😋😋 kwenye huu Uzi mkuuUnatambua hata
hewa unayovuta Ina simu pia Cha msingi baada ya kutumia hiyo shushia na glasi ya Gongo nambari one
Umetisha sana mkuuMie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418