Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
- #41
Njoo nikupe kitu roho inapenda ili uweze kuacha 😁😁Wewe kama mimi tu, sinywi soda wala kutumia sukari kwenye chai, ila chocolates 🍫 are my weakness, nimejaribu sana kuacha, nafanikiwa miezi kadhaa then narudia tena.