Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Huu nao ni URAIBU mbaya sana

Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...View attachment 3463400

Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..

SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA

1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)

Haya kazi kwako .

Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.

Asili huponya
Asili ya hicho kinywaji ni mmea wa coca
 
Utamwambia nini mtanzania wa kawaida na soda? Akija nyumbani kama mgeni wako mpe soda, ukimwalika kwenye sherehe mpe soda, mkitembea mtaani simama dukani mpe soda. Hapo utapendwa na kutangazwa kwa jamii kwamba una roho nzuri
 
Huu nao ni URAIBU mbaya sana

Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...View attachment 3463400

Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..

SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA

1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)

Haya kazi kwako .

Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.

Asili huponya
Yaani ushanitamanisha walah..!!!
 
Back
Top Bottom