Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Toka nimeacha kunywa soda na blood pressure yangu imeshuka na dawa situmii na kila nikipima ipo sawa kabisa.
 
Wewe kama mimi tu, sinywi soda wala kutumia sukari kwenye chai, ila chocolates 🍫 are my weakness, nimejaribu sana kuacha, nafanikiwa miezi kadhaa then narudia tena.
Chocolate zimejaa hayo masukari ile mbaya ..


Disadvantage nyingine ya sukari ni kuongeza aging speed ... Yaani unaweza ukawa na miaka 30 ila unaonekana sura imekushuka kama una miaka 60.


Unakuta wadada ni kukimbizana na vipodozi Kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…