Apo kinachofuata ni kuroga kwanzia utosin had unyayoni, hayo mambo ya kutumiana msg whatsapp mwache atumiane na mke wake, we kaz moja tu binamu
Ha ha afu nshaanza kumpenda sasa sijui ndo hela uchawi wa kizungu loo
namtafuta Tindu Lisu kabisa
he heiyaaaa kama nakuona vile lol...........
chezea muheshimiwa first class.........
Shosti upo? Makopa teletele kwako. Miss you
Binamu kumbe kuna kuroga tena. Mi nikajua huwa wanatoa wakiwa in a sane state! Haya hebu nielekeze kwa mtaalamu nianze maandalizi
Ha ha afu nshaanza kumpenda sasa sijui ndo hela uchawi wa kizungu loo
Apo kinachofuata ni kuroga kwanzia utosin had unyayoni, hayo mambo ya kutumiana msg whatsapp mwache atumiane na mke wake, we kaz moja tu binamu
Nipo shoga angu, we ndo adimu siku hizi.
Miss u much!
unafikir wanahonganga bure? Mpaka warogwe wale ooh, kuna mganga kiboro dinda yupo kule mabopande huyi ni nOuma sana
Umenchekesha sana wee eti eee inabidi kutoa gundu niogeshewe maji ya mpesa mpesa nimuweke kwenye kichupa afu nikitupe baharini looo.
He he binam umencheksha sana kimbe hawatoagi hivi hivi mpaka uwaroge lol mbona nshanyong'onyea.
Wala usinyong'onyee, yan unamtengeneza kuhakikisha hatok had amalize kaz yake ya kujenga ghorofa na kununua prado kama la florah mbasha
Na kujitoa akili muhimu, jichore tattoo ya jina lake hata masikion ikiwezekana