Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Looh au baby naomba no ya mama kuna mzigo nataka nimtumie kidogo....basi unazama kwa tigopesa mambo hadharan

Hahahaaahaa...hyo siyo reliable...mfano mi mama yangu line yake moja alisajiliwa na sister yangu baada ya kupoteza I'd yake. So betta uulize kiaina...

Unaeza Fanya ikadunda kumbe Nina siyo
 
Sijui nani aliyekuwa architecture designer wa Hilo jengo? Maana hakuna kitu kwenye designing mkuu.

Mkuu ukisema "aliyekuwa architecture designer" wanaoelewa watakucheka sana! Sema aliyekuwa "Architect" wa hilo jengo!
 
Hahahaa...ingia anga zangu uone lazima unase

Ah we unaemtafuta kiboro dinda mabwepande ukaboost ndio utaninatisha kweli??!!

Nimekulia mwanza kule wanapotumia fisi kama usafiri na kwetu ni kipumbwii-Tanga,tathimini!!
 
Ah we unaemtafuta kiboro dinda mabwepande ukaboost ndio utaninatisha kweli??!!

Nimekulia mwanza kule wanapotumia fisi kama usafiri na kwetu ni kipumbwii-Tanga,tathimini!!

Duuuuuuh....
 
Sasa binam wengine wanabinua kiuno wanalazimisha ta.ko lionekane wakati halipo nao unawasaidiajee,au wakaroge chinaa
Wengine ukiwaona tu wenyewe washajiroga, sasa wataroga nn na wenyew
 
Shosti tuchakarike

Mtu akijipendekeza mrogeee, awe na mpunga tu, maana wanawake na nyie mna mwingine mnazid kila kitu mnaroga, jiran kanunua les wigi la million nne we unaenda kumroga uo sasa ni uchawi, unaroga peny mkwanja tu
 
Back
Top Bottom