Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe amehusahau atanunua mwingine kama uhu uhu ni jero tu wanauza

View attachment 3171865
jambo la muhimu na la maana zaidi ni kusukutua kinywa chako kwa usahihi kwa dawa nzuri ya meno na maji safi,

na kuhikisha kinywa chako kinakua safi wakati wote na haikitoi harufu mbaya, ambayo mara nyingi inakua kero na usumbufu kwa wengine, lakini pia ni fedheha sana watu wanaokuzunguka wakijua unanuka mdomo dah, yaani hupigi mswaki na wala hauna mswaki wa gharama nafuu kama huo.

pamoja na hayo,
niwatakie wadau wote wa jukwaa hili muhimu sana, maandalizi mema ya likizo za Christmas na mwaka mpya2025.

Mungu awabariki sana :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom