Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Amina
 
We ujui nyumba za kota zilivyo ww unaweza kulekebisha kota?
Hili ndio tatizo lenu
Hata maji yakijaa mlangoni mnavua viatu mnapita
Sasa chumba naishi mimi miaka kwanini nisubiri waje warekebishe wao?
Unaweza kurekebisha mwenyewe
 
Hili ndio tatizo lenu
Hata maji yakijaa mlangoni mnavua viatu mnapita
Sasa chumba naishi mimi miaka kwanini nisubiri waje warekebishe wao?
Unaweza kurekebisha mwenyewe
Gvt inapesa ming
 
Ukitumia huo mswaki alafu usipate kansa ya koo basi wewe unaweza pambana hata na malaika mtoa roho za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…