Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Kwani reli inayeyuka leo?!..hiyo iliyopo ilijengwa miaka zaidi ya 120 iliyopita,acha kutangaza ujinga
Unasemaje umepata faids ya bilioni 18 ilhali gharama za project ni karibu trilioni kadhaa? Nani kati yangu anatangaza ujinga?
Reli haiyeyuki leo wala kesho sawa, what if kutatokea ushindani mpya ukaifanya reli useless? Yanayotekea kwenye mwendokasi hayakufundishi kitu?
 
Tunaviongozi Vichaa na wajinga sana awamu ya Wala urojo.Nauli yote hiyo ya Nini?kama laki na nusu ni kutoka dar Hadi Dodoma Kwa maana ikifika mwanza itakuwa nauli ni laki tatu na nusu ambayo ni sawa na nauli ya ndege!kiufupi huo mkweche ambao tumepigwa kuanzia bei ya ununuzi hautakuwa na manufaa Kwa wtz.
 
Madhara ya elimu bure🚮🚮🚮
 
10%
 
Najadiliana na bogus kumbe!!
 
 

Nauli Mpya Za Treni Ya Mwendokasi SGR, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi 120,000 kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma ambapo treni hizo zitakuwa ni express ambazo hazitosimama kila kituo bali kutoka Dar es salaam zitasimama Morogoro kisha Dodoma .
 
Hii ndio Tanzania 🇹🇿.
Hatari tupu. Nimevifananisha na viti vya zahanati fulani ya mtu binafsi huku maeneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…