Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Ccm ni wapumbavu hapo hakuna royal..ni upumbavu mwingine kwanza viti ni vyembamba upumbavu mtupu ...nashauri wasiseme kuna royal bali waseme ni level ya kawaida kupunguza aibu za kipumbavu zisizo na msingi
 
Ccm๐Ÿ’ฉ nauli ilitakiwa kuwa 50000 tu dar to dodoma
 
Is that rhe besti you can offer, una biashara ya mtaji wa trilooni 8 halafu umepata bilion 18 unarukaruka na kutangaza kuwa umepata faida ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€
Bogus nani kati yangu na wewe,?
Hujawahi uza hata pipi, bogus...
 
Nchi ngumu sana hii.. aibu gani hizi aseeh,hivyo visiti utadhani eicher..
 
Ccm ni wapumbavu hapo hakuna royal..ni upumbavu mwingine kwanza viti ni vyembamba upumbavu mtupu ...nashauri wasiseme kuna royal bali waseme ni level ya kawaida kupunguza aibu za kipumbavu zisizo na msingi
Madaraka sgr kwenye premium class kuna hadi wireless charging pad,, ubaya ni kuwa tu treni yao haina speed kama hii yetu.
Hii yetu inapiga bao kwenye speed, ila. Kwenye value for money na cabin specification wakenya na sgr yao wapo poa.
 
Binafsi naamini kuna watanzania wako vizuri zaidi Kama wakiamua kutumia real East African Royalty Theme as their Decor.

Kuna member hapo juu kazungumzia kuhusu animal trophies, animal skins, etcโ€ฆperfect idea!

Mabehewa hayo ya Royal yabebe theme ya makabila ya Tanganyika.
 
Ila waswahili kwa kelele hamjambo
Mmewekewa na tv naona
Miziki kama baa ๐Ÿ˜„ au macho yangu
 
Behewa la royal ni moja mengije saba ni bussiness class ambayo wanakaa watu 79,
Kwa Deal ambayo Serikali iliwapa hao Wakorea, kama Serikali ingekua na Designer Waziri, wange design Kitu Quality Kwa Bei ile ile coz Behewa lenyewe ni 1 tu....!

Serikali inabidi kazi zingine kama hizi za Designing watupe sisi.
 
Wateja wa Roya sio wengi kama tunavyojiamijisha ila tuna wateja wengi wa Hali za kawaida wa Kila siku
Wateja Wataongezeka mpaka ilo Behewa Moja litakua Halitoshi...!

Mawaziri na Wabunge kila week wanachoma Mafuta ya pesa nyingi Kwa trip za Dom to Dar.
 
Kachungulie siti za ma bus ya Klimanjaro Express route ya Dar-Arusha( kule pa VIP)...uone jinsi sgr ilivyotupwa mbali kwa ubora.
 
Waweke na taa zile zinakuaga kama vichelewa kwenye viplastiki wanauzaga machinga sana


Halafu waweke na viredio vya 10k kila mteja anaondoka na kiredio chake

Waweke na simu zenye memory card maana redio bila ya source ya muziki ni bure

Waweke na jezi za simba na yanga ukikaa kwenye siti yako unachagua moja bila ya kusahau kilo tano za nyama na kandoo ka mkaa kila siti unawasha kajiko kadogo kako unachoma


What i mean to say is there's no justifiable action to improve what is shown on the picture

You can't polish a turd ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ