Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndani
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbali
Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGR
Yapi maoni yako?