Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndani
IMG_4150.jpeg

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbali
IMG_4151.jpeg

IMG_4148.jpeg

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGR
IMG_4152.jpeg
Yapi maoni yako?
 
Uko. Sahihi hiyo ya Kenya hiki vizuri ipo hivi kwa uzoefu wangu wa kutumia VVIP wa karba hiyo wanapenda privacy sana so hapo hata comfortability inakuwa haipo
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
 
Hiyo ya kwetu labda unaweza kuweka miguu hapo ukishikwa na usingizi,halafu ya kwetu inakwenda haraka zaidi kuliko ya Kenya hivyo hizo complications nyingine hazina maana......
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Sisi kama wananchi wa JMT tumeshapigwa.
 
Maoni yangu ni, wafumue hizo vitambaa waweke ngozi halali kabisa ya UISO Leather products.

Siki zote leather inaipa(ga) class ya juuu popote inapowekwa.

Tena mi nninaonelea ili kunogesha waweke na vi meza na watandike ngozi za wanyama hapo chini ile kichifu na kifalme kwerikweri.

Hatutaishia hapo, ukuta upambwe kwa zile vichwa (trophies) za wanyama mbalimbali. Wanyama halisi sio sanamu maana wanyama tunao wengi tu. Halafu SgR ya Zanzibar ihakikishe Royal yake inao kasa na ikiwezekana hata papa kabisa😅😅
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Nauli kutoka Dsm hadi Dodoma ni 150,000/= ? Hiyo 150,000/= ni pesa ya Tanzania au pesa ya Zimbabwe??
 
Maoni yangu ni, wagumue hizo vitambaa waweke ngozi halali kabisa ya UISO Leather products.

Siki zote leather inaipa(ga) class ya juuu popote inapowekwa.

Tena mi nninaonelea ili kunogesha waweke na vi meza na watandike ngozi za wanyama hapo chini ile kichifu na kifalme kwerikweri.

Hatutaishia hapo, ukuta upambwe kwa zile vichwa (trophies) za wanyama mbalimbali. Wanyama halisi sio sanamu maana wanyama tunao wengi tu. Halafu SgR ya Zanzibar ihakikishe Royal yake inao kasa na ikiwezekana hata papa kabisa😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Wenye nazo watapanda ili kujitofautisha na wasionacho!
 
Back
Top Bottom