Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

Yajayo yatafurahisha
 
Huyo mbwa mambo ya nchi yetu yanamhusu nini, mwambieni amshauru Trump au haoni anavyowashughulikia wakorofi kule kwake. Hakuna serikali makini itakayokubali kulea wahuni, wahalifu, wahaini kwa kichaka cha demokrasia, hakuna.
Huyo ni wakili wa Lisu, lazima amsemee mteja wake inapobidi, ndio maelekezo aliopewa.
Kukuongezea hasira, ujue huyo jamaa anawafuasi wengi akiwepo Trumph. Hicho alichokiandika ujumbe umeenea mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…