Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Bingwa atakuwa Croatia.

Mimi sio mchawi.

Sio mtabiri.

Sio Ostaz.

Sio Mtume na Nabii.

Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo.

Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote kwamba mwaka huu ( 2026) atakuwa Croatia.

Nimetumia formula gani kupiga hesabu zangu? Nimefanya observation kama alivyo fanya Ptolemy wakati anatafuta circumference ya sayari ya dunia.

I don't condone gambling but anaetaka kucheza Kamari na akacheze.. Ningekuwa nacheza Kamari ningeweka hela yoyote kwa Croatia.

Once again. Utabiri wangu mwaka huu ( 2026) kombe la dunia wanabeba Croatia. I put 100 percent in every word that constitute my sentence above..

Mijadala mingine kuhusu Kombe la Dunia;
 
Moderator msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine please
Kupanda kote kwa gharama za maisha, umeme , gesi , nauli bado mna mambo ya makafiri , mpira?
 
Back
Top Bottom