The odds are so big mkuuNot this time
HakikaBingwa ni Portugal 🇵🇹 amka usije ukajikojolea
HeeBingwa atakuwa Croatia.
Huyo Likud ndonani lo??
Member JF...Huyo Likud ndonani lo??
Scars Saint Anne na wale Wafaransa wenzao watabisha..😃😃😃Bingwa atakuwa Croatia.
Mimi sio mchawi.
Sio mtabiri.
Sio Ostaz.
Sio Mtume na Nabii.
Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo.
Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote kwamba mwaka huu ( 2026) atakuwa Croatia.
Nimetumia formula gani kupiga hesabu zangu? Nimefanya observation kama alivyo fanya Ptolemy wakati anatafuta circumference ya sayari ya dunia.
I don't condone gambling but anaetaka kucheza Kamari na akacheze.. Ningekuwa nacheza Kamari ningeweka hela yoyote kwa Croatia.
Once again. Utabiri wangu mwaka huu ( 2026) kombe la dunia wanabeba Croatia. I put 100 percent in every word that constitute my sentence above..
Mijadala mingine kuhusu Kombe la Dunia;
- Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
- Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026
- FIFA yakataa ombi la Iran la kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani
- DR Congo yaiomba FIFA kurejesha Fedha za Tiketi za Kombe la Dunia 2026 kutokana na Vikwazo vya Ebola vilivyowekwa na Marekani
Ngoja tutunze hii Risiti kwa rejea .Bingwa atatoka hapa:
1. Spain
2. France
3. Portugal
Akicheza fainali na Ufaransa au Spain hapatatosha...Bingwa ni Portugal 🇵🇹 amka usije ukajikojolea
Save hiiNgoja tutunze hii Risiti kwa rejea .
We unaamini hizo ramliScars Saint Anne na wale Wafaransa wenzao watabisha..😃😃😃
Portugal 🤣🤣Bingwa atatoka hapa:
1. Spain
2. France
3. Portugal