Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

Croatia ni timu kubwa ila kuwapa nafasi ya ubingwa was something else.

Mimi niliwapa Brazil au Spain.
 
Bingwa atakuwa Croatia.

Mimi sio mchawi.

Sio mtabiri.

Sio Ostaz.

Sio Mtume na Nabii.

Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo.

Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote kwamba mwaka huu ( 2026) atakuwa Croatia.

Nimetumia formula gani kupiga hesabu zangu? Nimefanya observation kama alivyo fanya Ptolemy wakati anatafuta circumference ya sayari ya dunia.

I don't condone gambling but anaetaka kucheza Kamari na akacheze.. Ningekuwa nacheza Kamari ningeweka hela yoyote kwa Croatia.

Once again. Utabiri wangu mwaka huu ( 2026) kombe la dunia wanabeba Croatia. I put 100 percent in every word that constitute my sentence above..

Mijadala mingine kuhusu Kombe la Dunia;
Pole sana Mjomba.
 
Back
Top Bottom