Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

Siuuuu.
Timu limebalance watu wamewaka na uzoefu wa kutosha wa mechi kubwa na nyakati ngumu.

Siuuuuu
 
Hafiki mkuu
ah wewe kwa zile midfield attacking transitions zao za afcon sii balaaa watafunga tuu anyways wacha tuone wadhungu watazoiaje hizo counter attacks zao maana wakati wa afcon ilikuwa balaaaa
 
Back
Top Bottom