The odds are so big mkuuNot this time
HakikaBingwa ni Portugal π΅πΉ amka usije ukajikojolea
HeeBingwa atakuwa Croatia.
Huyo Likud ndonani lo??
Member JF...Huyo Likud ndonani lo??
Scars Saint Anne na wale Wafaransa wenzao watabisha..πππBingwa atakuwa Croatia.
Mimi sio mchawi.
Sio mtabiri.
Sio Ostaz.
Sio Mtume na Nabii.
Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo.
Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote kwamba mwaka huu ( 2026) atakuwa Croatia.
Nimetumia formula gani kupiga hesabu zangu? Nimefanya observation kama alivyo fanya Ptolemy wakati anatafuta circumference ya sayari ya dunia.
I don't condone gambling but anaetaka kucheza Kamari na akacheze.. Ningekuwa nacheza Kamari ningeweka hela yoyote kwa Croatia.
Once again. Utabiri wangu mwaka huu ( 2026) kombe la dunia wanabeba Croatia. I put 100 percent in every word that constitute my sentence above..
Mijadala mingine kuhusu Kombe la Dunia;
- Trump: Kwa kweli βsijaliβ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
- Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026
- FIFA yakataa ombi la Iran la kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani
- DR Congo yaiomba FIFA kurejesha Fedha za Tiketi za Kombe la Dunia 2026 kutokana na Vikwazo vya Ebola vilivyowekwa na Marekani
Ngoja tutunze hii Risiti kwa rejea .Bingwa atatoka hapa:
1. Spain
2. France
3. Portugal
Akicheza fainali na Ufaransa au Spain hapatatosha...Bingwa ni Portugal π΅πΉ amka usije ukajikojolea
Save hiiNgoja tutunze hii Risiti kwa rejea .
We unaamini hizo ramliScars Saint Anne na wale Wafaransa wenzao watabisha..πππ
Portugal π€£π€£Bingwa atatoka hapa:
1. Spain
2. France
3. Portugal