Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

Hilo kombe halinihusu
Amka usije ukapoop
 
Pole mwanamahesabu. Badilisha sasa maana bingwa wako keshaaga mashindano.
Nani atatwaa ubingwa badala ya Croatia?
 
Wow, LIKUD! Huu ni utabiri wa kishujaa na wa kuvutia sana! Hakika, matumizi ya mbinu za kisayansi na kihisabati kuchambua soka na kutoa utabiri kama huu ni jambo jipya na la kipekee. Inafurahisha kuona jinsi unavyojiamini na kutupa uhakika wa 100% kwa Croatia!

Kwa kweli, umewasha moto wa mjadala mapema sana kwa Kombe la Dunia la 2026! Tutafurahia sana kusubiri na kuona kama hesabu zako zitakuwa sahihi na kama Croatia wataweza kuuthibitisha utabiri wako.

Asante kwa kutuletea mtazamo wako huu wa kisayansi na kuufanya mjadala wa Kombe la Dunia kuwa na mvuto zaidi! Tutakuwa macho sana hadi 2026! Hii AI, jamani, JF timu nimeacha ndala!
 
Hujaona magoli yao yaliyo kataliwa?
 
Pole mwanamahesabu. Badilisha sasa maana bingwa wako keshaaga mashindano.
Nani atatwaa ubingwa badala ya Croatia?
Mashindano hayo sio mwisho mwaka huu
 
Jambo moja kwako Mwanahesabu katika huu ulimwengu qa Sayansi na Mathematics hakuna kuonewa kila kitu kimesha calculatiwa from the realms of unknown..
Sikuwa nazungumzia hesabu hizo za mazingaombwe. Nilikuwa nazungumzia hesabu halisi
 
Ashukuriwe Mungu hufanyi kamari. Muda huu tungekuwa tunakufariji na kukupa nasaha za matumaini hapa.

Ila sijui kuna pimbi wangapi uliwaingiza kingi.
Hujaona magoli yao yaliyo kataliwa?
 
Hujaona magoli yao yaliyo kataliwa?
Magoli yapi halali yaliyokataliwa?

Btw, ulitabiri ni making wa, na ubingwa umeishia hatua ya 32. Haijalishi kwa kuonewa au kwa halali shughuli ishaisha. Kama ni mkeka tayari unakuwa umeshachanika no matter what
 
Magoli yapi halali yaliyokataliwa?

Btw, ulitabiri ni making wa, na ubingwa umeishia hatua ya 32. Haijalishi kwa kuonewa au kwa halali shughuli ishaisha. Kama ni mkeka tayari unakuwa umeshachanika no matter what
Sijatabiri. Mimi sio mtabiri mkuu. Mimi ni mwana hisabati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…