Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

Begi la Mganga wetu kule Mali, limekamatwa. Hivyo tujiandae kwa kichapo.
 
Hata nzi nae ni Kingdom animalia, kwa muktadha huu nae ni mnyama?

Kama umesoma kidogo Baiolojia hiyo ya form moko unajua mnyama ana sifa zipi na mdudu ana sifa zipi...

Nimeishia kwenye kingdom sikushuka hadi kwenye genus hadi species...
 
Dakika ni ya 89 mpenz msomaji
R.barnako 0 1 yanga
 
Back
Top Bottom