Sio Manyani?Yanga nao wana jina la mnyama, wanaitwa vyura
Chura ni mdudu tu
Mkuu sikusoma Biology, O level nilisoma Technical Secondary school kule kuna masomo ya kiumeni tu.Mzee baba ulikimbia mapindi Baioloji ya classification form moko?
All amphibians are animals (kingdom animalia)
Mkuu sikusoma Biology O level nilisoma Technical Secondary school kule kuna masomo ya kiumeni tu.
Mhhhh..Kwa upande wa makolo lakini😂. Kwetu sisis ikawe heri💚💛
Umbumbumbu ni genetic upo kwenye damuMzee baba ulikimbia mapindi Baioloji ya classification form moko?
All amphibians are animals (kingdom animalia)
Mshukuruni Kibu aisee Jana kaupiga mwingi.Uto apigwe tu huko! Natengua utabiri wako kwa Uto apigweeee tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umenikimbusha pande zile pale bbtss,alliance pale mtss, moshi, ifunda, wazeya wa engineering science badala ya physics nyoro nyoro.Mkuu sikusoma Biology, O level nilisoma Technical Secondary school kule kuna masomo ya kiumeni tu.
Basi na popo ni ndege huku nyagumi ni samaki.Chura ni mdudu tu
Hata nzi nae ni Kingdom animalia, kwa muktadha huu nae ni mnyama?Mzee baba ulikimbia mapindi Baioloji ya classification form moko?
All amphibians are animals (kingdom animalia)
Kibu D alitenda miujiza jana [emoji1787]Mshukuruni Kibu aisee Jana kaupiga mwingi.
Leo wananchi tunamlambisha mchanga mtu kaa hapa hapa
Hata nzi nae ni Kingdom animalia, kwa muktadha huu nae ni mnyama?