Una uelewa?Huna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
Mchina na mrusi msaada anakupa ila hata mkiana yeye hana time na nyie ccm ndo mnataka iyo misaada hata mkipewa misaaada mkaua watu au kununua v8 au kumpa mkuuu wa mkoa achome nyama aropoke dereva wake alikua tapeli CAG akija kuleta mahesabu mnayaponga hakuna pesa mzitumie kipumbavu afu msitake kuhojiwa china hana time na mwafrika ndo mana sasa hv limekua dampo la bidhaaa zake cheapHuna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
Muulize tu Urusi walimsaidia mradi gani akikujibu nitaggUna uelewa?
Kwani Warusi sio Wazungu?
Umesoma heading ya hii thread? Urusi ni nchi ya Magharibi au umbumbumbu wako unakusumbua!!?Una uelewa?
Kwani Warusi sio Wazungu?
Kama tunakubaliana kuwa hatuna akili, sawa na wakorea au weupe wowote, sasa tatizo linaanzia hapo. Rasilimali zipo, akili hakuna. Yako mataifa yana bandari tu lakini wanatulisha.Huwezi fananisha urafiki na ukaribu wa China na North Korea na Watanzania na hayo mataifa.
North Korea ina maslahi makubwa kwa China kama nchi kuanzia usalama na siasa za ukanda ule ikianguka North Korea hasara kubwa mpaka China itapata.
Utofauti mwingine wakorea wana akili IQ kubwa wakati Watanzania akili hazipo
Hakuna nchi ya Africa ya kuweza kushindana na magharibi kama kweli wakichukulia jambo lao serious nasema hakuna.Zimbabwe mfumo wake wa utawala haukuwa sawa.
Zimbabwe nayo ni nchi ya kuitolea mfano?
Na wewe tusaidie basi Urusi ametusaidia mradi gani wa kijamii ambao anatusaidia miradi gani ya kijamii?Umesoma heading ya hii thread? Urusi ni nchi ya Magharibi au umbumbumbu wako unakusumbua!!?
Sisi tupo hapa kwa sababu ya ujinga wetu wazungu,wachina,waarabu,warusi wana mchango mdogo sana katika hiliNinyi mnaowasifia wazungu ndio hamjitambui.
Pia inaonesha mnapimia mambo kiutoto sana aisee.
Hata history inaonekana mlifeli darasani.
Hao wazungu kwa mwamvuli wa msaada wa kifedha ndio wamewafikisha hapa.
Embu nitajie,kuna kipi kikubwa ambacho mzungu amekufanyia ambacho ni potential hadi sasa??
Kwani alishindwa kuzindua kiwanda cha chandarua hadi aje akuletee msaada wa vyandarua??
Hapo tu akili yako haiamki??
Urusi imetusaidia kwenye ujuzi na vifaa katika sector ya ulinzi, usalama na Afya. Gharama zake ni kubwa sana ukilinganisha na vijisenti ulivyoripoti hapo juu vya Wamarekani.Muulize tu Urusi walimsaidia mradi gani akikujibu nitagg
Kuna shida gani ya kuanzisha uzi wako kuelezea wanachopata na ukaweka ushahidi wako?Wewe jamaa mjinga sana.
Sasa unafikiri hiyo misaada ni bure??
Hiyo ni chambo ya mabeberu.
Wanapata toka kwetu zaidi ya hiyo wanayoiita misaada.
Kwanini Awamu ya tano ilipokuwa inajitahidi kuacha kuchukua fedha zao walichukia??
Umeona wapi mtu anachukia kukataliwa misaada yake.
Akili fupi kama yako huwezi elewa kuwa hiyo inayoitwa misaada sio misaada bali biashara za wakubwa.
We Kunguni acha ujuajiUmesoma heading ya hii thread? Urusi ni nchi ya Magharibi au umbumbumbu wako unakusumbua!!?
Akilihivi unafikiri sisi ni masikini wa mali ama masikini wa akili..??
Ukweli mchungu kwamba kulili kulishwa na mwanaume mwingine ni kutangaza, ulemavu wa kudumu.Ni kweli nchi za magharibi zimekuwa zikitoa misaada, lakini hiyo missada inatolewa na msharti ambayo mwisho mnufaika mkubwa anakuwa ni mtoaji msaada. Kumbuka nchi kama Kenya ilipata uhuru 1962. Tanzania ilipata uhuru 1961. Mwaka 1962 uchumi wa Kenya ulikuwa unalingana na wa Korea ya kusini. Uchumi wa TZ uliukaribia ule wa Vietnam (kabla haijachakazwa na Maarekani). Leo nchi hizo mbili zina uchumi wa juu sisi bado maskini wa kutupwa. Misaada mingi ililenga kututia ganzi tuendelee kuwa tegemezi. Na tumerudi huko na sasa tunapewa mikopo left and right bila kukumbuka tunakiwa kuilipa.
Tunapopata mikopo toka magharibi au mashariki tunawakaribisha kchimba madini yetu bure, kwa sababu tunakubali mikataba mibovu ambayo ukifurukuta unafirisiwa. Kwanza unatupiwa chambo (msaada), alafu wanakuja kuchimba madini kwa mkataba waliyoandika wao. Misaada mingi tunaipokea bila kufikiria, hela ya msaada itakapokoma kilichoanzishwa kitaendelezwa vipi. Je kuna mpango mzuri wa takeover toka msaada. Kama huna njia ya kuendesha mradi baada ya hela ya msaada kukauka, itakuwa sawa na bure. Lakini mwenye msaada alishapata mgodi atakaochimba kwa masharti yake kwa miaka 50. Baada ya miaka 50 unaachiwa shimo, michanga, na kemikali (enironmental hazards)
Uwezo huo wa kujua yote hayo huna.Kuna shida gani ya kuanzisha uzi wako kuelezea wanachopata na ukaweka ushahidi wako?
Hadi sasaivi wewe na wenzako wote mnaobwabwaja kuwa wao wanapata zaidi sio tu hamjaweza kuweka ushahidi wenu ku support claims zenu bali hamjaweza hata kuanzisha nyuzi zenu kuelezea hayo mnayodai kwa ushahidi.
Achana na unaowaita wajinga.Ni vema sasa wewe ulete hayo maendeleo.Wewe ni kilaza kama walivyo vilaza wengine na ndio mmejaza Africa, Unategemea nini hapo ? Unajisifia umasikini kwenye nchi ya Ardhi tajiri , nyie wajinga ndio mnaturudisha Nyuma sana .
Kwa kifupi Urusi hakuna alichokusaidia kinachogusa maisha ya wananchi zaidi ya kukuuzia silaha zake tena ambazo hazipo kwenye matumizi yake. Na anakuuzia unalipa hela!Urusi imetusaidia kwenye ujuzi na vifaa katika sector ya ulinzi, usalama na Afya. Gharama zake ni kubwa sana ukilinganisha na vijisenti ulivyoripoti hapo juu vya Wamarekani.
Nimeshakuandikia hapo juu baadhi ya sectorNa wewe tusaidie basi Urusi ametusaidia mradi gani wa kijamii ambao anatusaidia miradi gani ya kijamii?
Mjinga ni yule anayedai vitu bila ushahidi. Na hapa ni weweUwezo huo wa kujua yote hayo huna.
Hivyo tunakuelemisha tu kupitia huu uzi wako wa kijinga iwe rahisi kukufikia.
Ukweli mchungu ni kwamba, kulilia kulishwa na mwanaume mwingine, hiyo ni kijitangaza mlemavu wa kudumu.Ukweli mchungu kwamba kulili kulishwa na mwanaume mwingine ni kutangaza, ulemavu wa kudumu.