Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Huna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
Una uelewa?

Kwani Warusi sio Wazungu?
 
Huna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
Mchina na mrusi msaada anakupa ila hata mkiana yeye hana time na nyie ccm ndo mnataka iyo misaada hata mkipewa misaaada mkaua watu au kununua v8 au kumpa mkuuu wa mkoa achome nyama aropoke dereva wake alikua tapeli CAG akija kuleta mahesabu mnayaponga hakuna pesa mzitumie kipumbavu afu msitake kuhojiwa china hana time na mwafrika ndo mana sasa hv limekua dampo la bidhaaa zake cheap
 
Huwezi fananisha urafiki na ukaribu wa China na North Korea na Watanzania na hayo mataifa.

North Korea ina maslahi makubwa kwa China kama nchi kuanzia usalama na siasa za ukanda ule ikianguka North Korea hasara kubwa mpaka China itapata.

Utofauti mwingine wakorea wana akili IQ kubwa wakati Watanzania akili hazipo
Kama tunakubaliana kuwa hatuna akili, sawa na wakorea au weupe wowote, sasa tatizo linaanzia hapo. Rasilimali zipo, akili hakuna. Yako mataifa yana bandari tu lakini wanatulisha.
 
Zimbabwe mfumo wake wa utawala haukuwa sawa.
Zimbabwe nayo ni nchi ya kuitolea mfano?
Hakuna nchi ya Africa ya kuweza kushindana na magharibi kama kweli wakichukulia jambo lao serious nasema hakuna.

Duniani ni mataifa machache sana yenye huo ubavu yanahesabika tena kwa kubebana.

Magharibi bado wameshikilia mifumo mingi sana ya kidunia toka miaka mia iliyopita.

Xi kumuambia Putin mabadiliko ya sasa haijawahi tokea sio kauli ndogo.

Tena Africa ilivyo jaza wajinga wajinga bado sana kupambana na magharibi uwe umejipanga haswa.
 
Umesoma heading ya hii thread? Urusi ni nchi ya Magharibi au umbumbumbu wako unakusumbua!!?
Na wewe tusaidie basi Urusi ametusaidia mradi gani wa kijamii ambao anatusaidia miradi gani ya kijamii?
 
Wewe jamaa mjinga sana.

Sasa unafikiri hiyo misaada ni bure??

Hiyo ni chambo ya mabeberu.

Wanapata toka kwetu zaidi ya hiyo wanayoiita misaada.

Kwanini Awamu ya tano ilipokuwa inajitahidi kuacha kuchukua fedha zao walichukia??

Umeona wapi mtu anachukia kukataliwa misaada yake.

Akili fupi kama yako huwezi elewa kuwa hiyo inayoitwa misaada sio misaada bali biashara za wakubwa.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ninyi mnaowasifia wazungu ndio hamjitambui.
Pia inaonesha mnapimia mambo kiutoto sana aisee.
Hata history inaonekana mlifeli darasani.
Hao wazungu kwa mwamvuli wa msaada wa kifedha ndio wamewafikisha hapa.
Embu nitajie,kuna kipi kikubwa ambacho mzungu amekufanyia ambacho ni potential hadi sasa??
Kwani alishindwa kuzindua kiwanda cha chandarua hadi aje akuletee msaada wa vyandarua??
Hapo tu akili yako haiamki??
Sisi tupo hapa kwa sababu ya ujinga wetu wazungu,wachina,waarabu,warusi wana mchango mdogo sana katika hili
 
Muulize tu Urusi walimsaidia mradi gani akikujibu nitagg
Urusi imetusaidia kwenye ujuzi na vifaa katika sector ya ulinzi, usalama na Afya. Gharama zake ni kubwa sana ukilinganisha na vijisenti ulivyoripoti hapo juu vya Wamarekani.
 
Wewe jamaa mjinga sana.

Sasa unafikiri hiyo misaada ni bure??

Hiyo ni chambo ya mabeberu.

Wanapata toka kwetu zaidi ya hiyo wanayoiita misaada.

Kwanini Awamu ya tano ilipokuwa inajitahidi kuacha kuchukua fedha zao walichukia??

Umeona wapi mtu anachukia kukataliwa misaada yake.

Akili fupi kama yako huwezi elewa kuwa hiyo inayoitwa misaada sio misaada bali biashara za wakubwa.
Kuna shida gani ya kuanzisha uzi wako kuelezea wanachopata na ukaweka ushahidi wako?

Hadi sasaivi wewe na wenzako wote mnaobwabwaja kuwa wao wanapata zaidi sio tu hamjaweza kuweka ushahidi wenu ku support claims zenu bali hamjaweza hata kuanzisha nyuzi zenu kuelezea hayo mnayodai kwa ushahidi.
 
Umesoma heading ya hii thread? Urusi ni nchi ya Magharibi au umbumbumbu wako unakusumbua!!?
We Kunguni acha ujuaji
 
Attachments

  • Screenshot_20240919_200827_Chrome.jpg
    Screenshot_20240919_200827_Chrome.jpg
    124 KB · Views: 2
Ni kweli nchi za magharibi zimekuwa zikitoa misaada, lakini hiyo missada inatolewa na msharti ambayo mwisho mnufaika mkubwa anakuwa ni mtoaji msaada. Kumbuka nchi kama Kenya ilipata uhuru 1962. Tanzania ilipata uhuru 1961. Mwaka 1962 uchumi wa Kenya ulikuwa unalingana na wa Korea ya kusini. Uchumi wa TZ uliukaribia ule wa Vietnam (kabla haijachakazwa na Maarekani). Leo nchi hizo mbili zina uchumi wa juu sisi bado maskini wa kutupwa. Misaada mingi ililenga kututia ganzi tuendelee kuwa tegemezi. Na tumerudi huko na sasa tunapewa mikopo left and right bila kukumbuka tunakiwa kuilipa.
Tunapopata mikopo toka magharibi au mashariki tunawakaribisha kchimba madini yetu bure, kwa sababu tunakubali mikataba mibovu ambayo ukifurukuta unafirisiwa. Kwanza unatupiwa chambo (msaada), alafu wanakuja kuchimba madini kwa mkataba waliyoandika wao. Misaada mingi tunaipokea bila kufikiria, hela ya msaada itakapokoma kilichoanzishwa kitaendelezwa vipi. Je kuna mpango mzuri wa takeover toka msaada. Kama huna njia ya kuendesha mradi baada ya hela ya msaada kukauka, itakuwa sawa na bure. Lakini mwenye msaada alishapata mgodi atakaochimba kwa masharti yake kwa miaka 50. Baada ya miaka 50 unaachiwa shimo, michanga, na kemikali (enironmental hazards)
Ukweli mchungu kwamba kulili kulishwa na mwanaume mwingine ni kutangaza, ulemavu wa kudumu.
 
Kuna shida gani ya kuanzisha uzi wako kuelezea wanachopata na ukaweka ushahidi wako?

Hadi sasaivi wewe na wenzako wote mnaobwabwaja kuwa wao wanapata zaidi sio tu hamjaweza kuweka ushahidi wenu ku support claims zenu bali hamjaweza hata kuanzisha nyuzi zenu kuelezea hayo mnayodai kwa ushahidi.
Uwezo huo wa kujua yote hayo huna.

Hivyo tunakuelemisha tu kupitia huu uzi wako wa kijinga iwe rahisi kukufikia.
 
Wewe ni kilaza kama walivyo vilaza wengine na ndio mmejaza Africa, Unategemea nini hapo ? Unajisifia umasikini kwenye nchi ya Ardhi tajiri , nyie wajinga ndio mnaturudisha Nyuma sana .
Achana na unaowaita wajinga.Ni vema sasa wewe ulete hayo maendeleo.
 
Urusi imetusaidia kwenye ujuzi na vifaa katika sector ya ulinzi, usalama na Afya. Gharama zake ni kubwa sana ukilinganisha na vijisenti ulivyoripoti hapo juu vya Wamarekani.
Kwa kifupi Urusi hakuna alichokusaidia kinachogusa maisha ya wananchi zaidi ya kukuuzia silaha zake tena ambazo hazipo kwenye matumizi yake. Na anakuuzia unalipa hela!

Kwa hiyo hakuna chochote cha maana ambacho Urusi anawafanyia wananchi wa Tanzania.
 
Uwezo huo wa kujua yote hayo huna.

Hivyo tunakuelemisha tu kupitia huu uzi wako wa kijinga iwe rahisi kukufikia.
Mjinga ni yule anayedai vitu bila ushahidi. Na hapa ni wewe
 
Back
Top Bottom