Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!

TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
Screenshot_20250823-203432.png
 
ndugu yangu, mambo ya nchi hii yaache tu tulishakata tamaa
 
Izingatiwe 'ajue kosoma na kuandika'
Ndiyo ni K3,
1.Kusoma
2.Kuandika
3.Kuhesabu

Hivi ndivyo vigezo vya yeyote anayepaswa kuwa kiongozi Tanzania. Certificate yeyote ni added advantage.
 
Back
Top Bottom