mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Wananchi anawasimamia hukoYaani sijajua kwanini huyo jamaa amerudishwa wakati ni Empty Set aka Zero Brain.
Umewaona lakini
Ova
Wananchi anawasimamia hukoYaani sijajua kwanini huyo jamaa amerudishwa wakati ni Empty Set aka Zero Brain.
Duh,Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Mmmh kwa huu Mwandiko, ni la saba CKweli ni darasa la saba B
Mtoto wa kike akichukua sura anakuwa mtamu ajabu
Ndiyo chaguo la wasukumaMtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Sura ya huyu baba?Mtoto wa kike akichukua sura anakuwa mtamu ajabu
Kigezo ni kujua kusoma na kuandika..!! haijalishi unajua kusoma na kuandika kwa kiwango gani..!!Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Connection mkuu,Yaani sijajua kwanini huyo jamaa amerudishwa wakati ni Empty Set aka Zero Brain.
Nina..... madhambi ya ''dalali yule'' yanazidi kuanikwa hadharani. Mshenzi mkubwa aliyesababisha roho za vijana wa kitanzania kupotea kumbe yeye nyuma ya pazia anapokea fedha. Na bado CCM wanavyozidi kuvurugana kuna siri zake nyingi zitajulikana.Inakusaidia nini?
Hawa ndiyo CCM inawapenda sana kwa sababu hawana uwezo wa kuona nchi inakopelekwa. Na zaidi ... kuwaondoa ni kazi ya wananchi. Tukizidi kudhani kuwa watu kama hawa wanatakiwa kuondolewa na tume au TISS basi hawataondoka kamwe.Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Inakusaidia nini?Nina..... madhambi ya ''dalali yule'' yanazidi kuanikwa hadharani. Mshenzi mkubwa aliyesababisha roho za vijana wa kitanzania kupotea kumbe yeye nyuma ya pazia anapokea fedha. Na bado CCM wanavyozidi kuvurugana kuna siri zake nyingi zitajulikana.
Wananchi anawasimamia huko
Umewaona lakini
Ova
Connection mkuu,
Kama hujuwi hata hao wabunge lazima kwanza wakutane na wanamtandao ndy jina lipite.
Amini nawaambieni.
Si aliwagawia vitenge na kofia hukoHahaa hapana mkuu ,wapoje chief?