mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Lazima kwanza uliwe ndy ule,,bila kufata utaratibu lazima wakubwage.Roast Tamu na Jar car hire wanadhoofisha nchi kwa kutupatia magalasa na mafisadi.
Lazima kwanza uliwe ndy ule,,bila kufata utaratibu lazima wakubwage.Roast Tamu na Jar car hire wanadhoofisha nchi kwa kutupatia magalasa na mafisadi.
Mwanangu wa KG2 ana afadhali.Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Wenye akili mmeamua kujiweka Pembeni na siasaMaisha hayapo fair kabisa,yaani sisi tunanyoosha lugha fresh lakini account ina namba za viatu ,ila Dr Joseph Kasheku Musukuma hajui kuandika lakini accounts zake zina mabilioni.
Atakuwa muiraq!Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Sema A,ahaInashangaza sana eti porepore
Mnakuwaga na majibu rahisi kwenye mambo muhimu.uliwahi kujiuliza kwa nini tz ni nchi masikini?? Wenzetu elimu ndo msingi wa maisha.sisi tunafikiri kuishi kwa ujanja ujanja ndo ujanja.Wewe mwenye kuandika vizuri ebu tuambie umetufanyia nini cha maana
Wewe mwenye elimu umeisaidiaje hiyo Tanzania kuondokana na huo umaskini?Mnakuwaga na majibu rahisi kwenye mambo muhimu.uliwahi kujiuliza kwa nini tz ni nchi masikini?? Wenzetu elimu ndo msingi wa maisha.sisi tunafikiri kuishi kwa ujanja ujanja ndo ujanja.
Ni PhD holder🤣🤣Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Tumewaachia kina Tale Tale ,Musukuma na baba levo waamue maisha yetu ,ndiyo maana kama nchi tumestaki.Wenye akili mmeamua kujiweka Pembeni na siasa
Hahahaa aiseee basi ni hatari.Si aliwagawia vitenge na kofia huko
Watu huko vilaza International
Ova
Umeona wanasiasa wametulisha kwamba siasa ni mchezo mchafu yes ni mchafu Afrika kwasababu ya roho zetu mbaya lakini kama ilikua ni kuuza sera na hoja na akili basi Afrika tungekua mbali roho mbaya ukikosoa serikali Wewe ni mpinzani serikali hata kama una hoja nzuri sasa unaweza kuona siasa Afrika kwamba ni ujinga. Angalia waziri wa fedha akienda kusoma bajeti ya mwaka msafara wake akielekea Bungeni alafu angalia msafara wa waziri wa fedha kwa Watu wenye akili timamu tunaoenda kuomba msaada. Sisi bado ngozi nyeusi kwanza wa binafsi hawapendi yuko tiyari kufanya chochote ajinufaisheTumewaachia kina Tale Tale ,Musukuma na baba levo waamue maisha yetu ,ndiyo maana kama nchi tumestaki.