Below 40
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 948
- 1,909
Amini mkuu huku kawaida sana raia washazoea hata kuongea ni hivyoNdio aandike porepore?
Amini mkuu huku kawaida sana raia washazoea hata kuongea ni hivyoNdio aandike porepore?
Shule za msingi huko hamkufundishwa kuandika alphabets?Huku kanda ya ziwa kuna changamoto ya matumizi ya l na r si yeye tu
Mi wakuja tu huku mkuu nafanya kilichonileta, ujinga wa watu sijali as long as I'm not affected naoShule za msingi huko hamkufundishwa kuandika alphabets?
🤣🤣Rara nikurambe mara moja nawahi shambani.
Sidhani kama alifika darasa la saba.Kweli ni darasa la saba B
mAana darasa la saba wanajua kutofautisha R na LSidhani kama alifika darasa la saba.
Exactly.mAana darasa la saba wanajua kutofautisha R na L