Porepore jmnTutaaminije je kama umeona jamaa yako ambae hajui kusoma na kuandika kaweka status ukaamua kusave namba yake MH.Msukuma
Safi sana endeleeni kukata tamaa sisi ngoja tulambe asali kwanzandugu yangu, mambo ya nchi hii yaache tu tulishakata tamaa
ni kweli wana changamoto hiyo lakini najua ni upande wa kutamka ila sio ktk kuandika,hata baadhi ya maeneo kuna watu wanapuuza kutanguliza herufi H ila inabakia ktk utamshi tu na si ktk maandishiL na R ni tatizo kwa wasukuma wengi
Sasa mbona huyo hata kuandika hajui? Kapataje ubunge?Ndiyo ni K3,
1.Kusoma
2.Kuandika
3.Kuhesabu
Hivi ndivyo vigezo vya yeyote anayepaswa kuwa kiongozi Tanzania. Certificate yeyote ni added advantage.
Yaani sijajua kwanini huyo jamaa amerudishwa wakati ni Empty Set aka Zero Brain.Babu Tale huyo
Uhalisia tu! 🤣🤣Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!!
TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
View attachment 3450428
Mkuu sina mwanasheria. 😄Sasa mbona huyo hata kuandika hajui? Kapataje ubunge?
Ndio aandike porepore?Huku kanda ya ziwa kuna changamoto ya matumizi ya l na r si yeye tu