Huu ni ujuzi ambao hauna watu wengi chance ya kupata pesa ni kubwa.

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda Kenya kidogo ivi vitu nimeviona.

1.ujuzi wa ufundi auto electrical, body repair, heavy mechanics.
Kijana ambae anaweza kudedicate muda wake wote kwenye hii niche, then ukatumia uwezo wako uliokuwa nao darasani ukaisoma engine mwanzo mwisho, then ukajua jinsi ya kurepair nakuhakikishia uwezi kukosa pesa ya kufanya maendeleo, mafundi wengi ni kanjanja kanjanja tu, wanatumia uzoefu but in reality hawajui vizuri, unakuta auto electrical hajui flow ya current hata krichhof'fs law hawaijui lakini wanakuwa mafundi wazuri ukiweza unaweza kumonitize ujuzi kwa kuandika vitabu hata kufungua darasa ukaanza kupiga hela, matractor yakiharibika mafundi wanaenda kufatwa Kenya, maana vijana wamekimbilia kuendesha boda boda na bajaj

2. Electronics Repair.
Nyie kizazi cha gen z, ni rahisi sana kuwa fundi simu, laptop,blender, pasi, subwoofer, and all Electronics equipment ni kujipa muda tu na practice za kutosha then kwa mtaji mdogo sana unafungua shop yako unaanza kupiga hela, matatizo ya watu ni mengi wananunua vitu fake vya China
3.refrigerator, air conditioning, generator, printer
Hii iko na wachache sana tengeneza brand then monetize
4. Fundi umeme wa majumbani na viwandani,
Hapa ukishajifunza jiongeze siku chache zimepita nilikua natafuta fundi wa motor yangu, nilitaka afanye rewinding nilimtafuta kila kona sikumuona vijana hamuoni kwamba hiyo ni fursa?

Kila siku mpo kwa diamond, harmonize na mademu zake shauri yako.
 
Sijaona bado kiashiria cha pesa kwenye uzi wako
 
Kweli vijana inabidi mrudishwe shule.
Wakasomeee ufundi umeme? Hamna fundi umeme tajiri. Labda huyo fundi umeme aanzishe karakana ya kuunda vifaa vya umeme na kuviuza.

Ukiwa fundi unakuwa ni kama mtaalamu wa kuziba viraka nguo kuu kuu. Hamna utajiri humo, kuna kupata kahela ka kula tu
 
Si ndo wengi humu wanasema vibaya elimu ya advance , wanaipush VETA.
Sasa ukiiruka Physics ya advance, Kirchhoff's laws utaisoma wapi?
Norton theorem utaisoma wapi?
Unakuta practically wanaweza fanya vizuri kwa old models ila zikija new models ambazo zinatumia ujuzi wa kisasa ambazo zipo kwenye vitabu vya advance ya Physics kama basics za kukusaidia kuweza kuuelewa mfumo mzima, unakuta mafundi kanjanja wanazaliwa.
VETA ina umuhimu wake.
Elimu ya advance ina umuhimu wake.
 
Haha nadhani vijana wa sasa mko smart kuliko sisi wazee, fundi asibaki kuwa fundi afungue kampuni then aanze kutafuta tenda, contracts na kujiongeza kwenye maneuver mbalimbali, fundi smart ni yule ambaye anapata pesa kwenye ufundi then anafanya biashara ya ujuzi wake right?
 
Si ndo wengi humu wanasema vibaya elimu ya advance , wanaipush VETA.
Sasa ukiiruka Physics ya advance, Kirchhoff's laws utaisoma wapi?
Norton theorem utaisoma wapi?
Unakuta practically wanaweza fanya vizuri kwa old models ila zikija new models ambazo zinatumia ujuzi wa kisasa ambazo zipo kwenye vitabu vya advance ya Physics kama basics za kukusaidia kuweza kuuelewa mfumo mzima, unakuta mafundi kanjanja wanazaliwa.
VETA ina umuhimu wake.
Elimu ya advance ina umuhimu wake.
Mimi nilienda kwa fundi electronics mmoja diode ikawa imekufa ikabidi aulize AI hata diode alishindwa kuandika akaandika dayodi, lakini pia ni upumbavu wa vijana wetu wanaomaliza course kama electronics wanashindindwa kuingia kupractise mtaani
 
Nanukuu'mafundi wanafatwa Kenya ' OK wanapelekwa nchi ipi sasa?
 
Mimi nilienda kwa fundi electronics mmoja diode ikawa imekufa ikabidi aulize AI hata diode alishindwa kuandika akaandika dayodi, lakini pia ni upumbavu wa vijana wetu wanaomaliza course kama electronics wanashindindwa kuingia kupractise mtaani
Kweli vitu vingi watu wa advance wakiamua kufanya practice wanatoboa, sasa mtu wa VETA atajuaje diode wakati hajapitia advance?
Uko sahihi.
 
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda Kenya kidogo ivi vitu nimeviona.

1.ujuzi wa ufundi auto electrical, body repair, heavy mechanics.
Kijana ambae anaweza kudedicate muda wake wote kwenye hii niche, then ukatumia uwezo wako uliokuwa nao darasani ukaisoma engine mwanzo mwisho, then ukajua jinsi ya kurepair nakuhakikishia uwezi kukosa pesa ya kufanya maendeleo, mafundi wengi ni kanjanja kanjanja tu, wanatumia uzoefu but in reality hawajui vizuri, unakuta auto electrical hajui flow ya current hata krichhof'fs law hawaijui lakini wanakuwa mafundi wazuri ukiweza unaweza kumonitize ujuzi kwa kuandika vitabu hata kufungua darasa ukaanza kupiga hela, matractor yakiharibika mafundi wanaenda kufatwa Kenya, maana vijana wamekimbilia kuendesha boda boda na bajaj

2. Electronics Repair.
Nyie kizazi cha gen z, ni rahisi sana kuwa fundi simu, laptop,blender, pasi, subwoofer, and all Electronics equipment ni kujipa muda tu na practice za kutosha then kwa mtaji mdogo sana unafungua shop yako unaanza kupiga hela, matatizo ya watu ni mengi wananunua vitu fake vya China
3.refrigerator, air conditioning, generator, printer
Hii iko na wachache sana tengeneza brand then monetize
4. Fundi umeme wa majumbani na viwandani,
Hapa ukishajifunza jiongeze siku chache zimepita nilikua natafuta fundi wa motor yangu, nilitaka afanye rewinding nilimtafuta kila kona sikumuona vijana hamuoni kwamba hiyo ni fursa?

Kila siku mpo kwa diamond, harmonize na mademu zake shauri yako.
Na kufuatilia mimba za mastaa.
 
Viol sijui kamalize ile kozi yake ya ndoto ya kutengeneza mageti ya umeme na electric fence.

Money stops nonsense
 
Kazi zenyewe hizi za uswahilini za kwenda kufunga bulb 💡 kwa mangi? Mafundi wengi Wana Hali mbaya!!
 
Kwa mtazamo wangu mimi kama kijana hizi sio ideas za kuteletea sisi kutoka "nchi mbalimbali" ulizozunguka,cause mtu kufanya issues kama hizo hakuwezi kukakutoa(kwa maana ya kukuweka kwenye ile true financial stability) zaidi sana kutakusaidia kupata pesa yako ya kukidhi mahitaji,labda na kukufanya uishi maisha ya juu kidogo ya mtanzania wa kawaida.
Unless kama utaamua kufanya hizo issue kwa level kubwa,ambayo unakuta ni Capital intensive,jambo ambalo vijana wengi linatukwamisha,Mtaji.
So tunakua tunarudi kwenye ground Zero.
By the way hapa nmeongea akili yangu tu,Sina Ujuzi wala uzoefu wa hayo mambo yaliyotajwa na mwandishi wa uzi juu ya namna yake ya uingizaji wake wa pesa hususani hapa nchini.
 
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda Kenya kidogo ivi vitu nimeviona.

1.ujuzi wa ufundi auto electrical, body repair, heavy mechanics.
Kijana ambae anaweza kudedicate muda wake wote kwenye hii niche, then ukatumia uwezo wako uliokuwa nao darasani ukaisoma engine mwanzo mwisho, then ukajua jinsi ya kurepair nakuhakikishia uwezi kukosa pesa ya kufanya maendeleo, mafundi wengi ni kanjanja kanjanja tu, wanatumia uzoefu but in reality hawajui vizuri, unakuta auto electrical hajui flow ya current hata krichhof'fs law hawaijui lakini wanakuwa mafundi wazuri ukiweza unaweza kumonitize ujuzi kwa kuandika vitabu hata kufungua darasa ukaanza kupiga hela, matractor yakiharibika mafundi wanaenda kufatwa Kenya, maana vijana wamekimbilia kuendesha boda boda na bajaj

2. Electronics Repair.
Nyie kizazi cha gen z, ni rahisi sana kuwa fundi simu, laptop,blender, pasi, subwoofer, and all Electronics equipment ni kujipa muda tu na practice za kutosha then kwa mtaji mdogo sana unafungua shop yako unaanza kupiga hela, matatizo ya watu ni mengi wananunua vitu fake vya China
3.refrigerator, air conditioning, generator, printer
Hii iko na wachache sana tengeneza brand then monetize
4. Fundi umeme wa majumbani na viwandani,
Hapa ukishajifunza jiongeze siku chache zimepita nilikua natafuta fundi wa motor yangu, nilitaka afanye rewinding nilimtafuta kila kona sikumuona vijana hamuoni kwamba hiyo ni fursa?

Kila siku

4. Fundi umeme wa majum

Yeah sure, akijiongeza akauza na vifaa basi atakuwa position nzuri.

Vijana hawawezi kukuelewa wao wamegundua fursa Yao ya kipekee ambayo ni betting.
 
Back
Top Bottom