Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
- Thread starter
- #21
Ok mimi nimeoa kwa ambao hawana mtaji, skills ni bure kupata na ni rahisi kujikimu ukishajikimu kwanza ndio unaanza kufikiria mambo makubwa.Kwa mtazamo wangu mimi kama kijana hizi sio ideas za kuteletea sisi kutoka "nchi mbalimbali" ulizozunguka,cause mtu kufanya issues kama hizo hakuwezi kukakutoa(kwa maana ya kukuweka kwenye ile true financial stability) zaidi sana kutakusaidia kupata pesa yako ya kukidhi mahitaji,labda na kukufanya uishi maisha ya juu kidogo ya mtanzania wa kawaida.
Unless kama utaamua kufanya hizo issue kwa level kubwa,ambayo unakuta ni Capital intensive,jambo ambalo vijana wengi linatukwamisha,Mtaji.
So tunakua tunarudi kwenye ground Zero.
By the way hapa nmeongea akili yangu tu,Sina Ujuzi wala uzoefu wa hayo mambo yaliyotajwa na mwandishi wa uzi juu ya namna yake ya uingizaji wake wa pesa hususani hapa nchini.
Tukiongelea kilimo nitakuwa nawadissapoint tu