GE2025 Huu ni uongo na ni tusi kwa Watanzania wote walio na akili timamu na wanaojielewa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio yeye ameelekezwa na maboss wake kusema hivyo, kuwadaa watanzania.
 
Safari hii nina uhakika wataleta ''katiba mpya''. Lakini itakuwa mbaya kuliko iliyopo..... kila mtu aweke haya maneno. CCM sasa hivi iko kwenye hali mbaya sana na waliopo madarakani hawatakubali kuweka ushindani wa haki kwa sababu ni kujichimbia kaburi.... wakiondoka watashtakiwa kwa mengi. Hvyo watataka kung'ang'ania kwa muda mrefu kadiri iwezekanavyo... kwa kutumia kila silaha waliyonayo na katiba ni silaha muhimu sana sana....
Mkuu unaishi nchi gani? sisiem haina hali yoyote mbaya na hii ni kutokana na ukweli kwamba kundi kubwa la watanzania bado ni wajinga sana, na hii ndio silaha yao kubwa! Jana ungeshuhudia uzinduzi wao Kwa karibu na kutazama Kwa jicho la umakini misafara ya maafisa usafirishaji ( bodaboda) ungethibitisha ninachosema...ujinga na umaskini wa watanzania bado utaendelea kuibeba sisiem Kwa miaka mingi ijayo!
 
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.

Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.

Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya.

Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia ya hayo [upatanishi, maridhiano, na katiba mpya].

Mimi nakataa katakata wao kunifanya mimi mjinga, zuzu, na mpumbavu.

Nakataa kwa sababu hao watu [CCM] wapo madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa na ifikapo 2030, watakuwa wamekaa madarakani kwa karibu miaka 70!

Wangekuwa na nia ya kweli ya kuyafanya hayo mambo, tayari wangekuwa washayafanya kitambo sana.

Katiba mpya ingekuwa ni muhimu kwao, basi ingeandikwa tokea mwaka 1992 tulipoingia katika mfumo wa vyama vingi.

Wao ndo walikuwa madarakani kipindi hicho lakini katiba mpya haikuandikwa.

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010, kelele za katiba mpya zilipozidi, hao hao CCM wakaanzisha mchakato feki wa kuandika katiba mpya.

Bunge la katiba mpya likaundwa. Rasimu ya katiba mpya ikaandikwa.

Kumbuka, haya yote yalianzishwa katika muhula wa pili wa Rais wa wakati huo.

Juhudi zote hizo pamoja na rasilimali zote zilizotumika kwenye huo mchakato, zikapotea bure.

Hakukuwa na cha katiba mpya wala shangazi yake na katiba mpya.

2015 tukapata Rais mpya na serikali mpya. Hoja ya katiba mpya ikatupiliwa mbali.

2021 tukampata huyu Rais aliyepo sasa.

Yeye akasema mambo ya katiba mpya yasubiri kwanza mpaka atengeneze uchumi.

Kichekesho. Ni kana kwamba hajui uhusiano wa katiba mpya iliyo bora na misingi ya kujenga uchumi ulio bora.

Jana wakati akitoa ahadi zake, akadokeza kuwa ataunda tume ya kushughulikia mambo ya katiba mpya!

Whoopdedoo 🤣.

Anatangaza mambo ya katiba mpya akiwa anaingia kwenye muhula wake wa pili.

Classic case of kicking the can down the road.

Kama historia muongozo, basi hakuna cha maana kitachotokea kuhusu kuandika katiba mpya.

2030 ikifika, watakuja na kisingizio kingine. 2035 huyo atayekuwa mgombea wao naye atatoa ahadi kama hiyo. Nayo itakuwa ni hewa tu.

Kama hamniamini, angalieni tu jina la sasa la tume ya uchaguzi.

Kelele zilipozidi, wakabadili tu kidogo jina la hiyo tume. Badala ya kuitwa tume ya taifa ya uchaguzi, wakaongeza neno moja tu, ‘huru’. Ikaanza kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi. Kutoka NEC mpaka INEC.

Hawa watu hawana soni kabisa.

Haya, tuje kwenye maridhiano.

Madhila yote kuhusu siasa na wanasiasa, yametokea chini yao.

Wangekuwa ni watendaji haki, kusingekuwepo na haja ya upatanishi na maridhiano.

Miaka yote hiyo wameshindwa kuwatendea vyema watu wengine halafu leo hii kwenye kampeni zao wanasema wataunda tume ya usuluhishi na maridhiano.

Hivi, si yalikuwepo yale mazungumzo ya maridhiano muda si mrefu uliopita?

Kama wameshindwa kuwatendea vizuri Watanzania kwa zaidi ya miaka 60, ndo wataweza kwenye miaka 5 ijayo?

Waende zao huko. Mimi nilishakataa huo uwendawazimu.

Tuombe tu JF iendelee kuwepo kwa miaka mingi ijayo ili tukumbushane.
Kwa wasiojua, CCM ndio tatizo namba 1 la nchi hii.
 
Kwa Tume Huru igeni mfano wa Kenya. Wale ndo wana Tume Huru. Nani aliyemchagua Mwenyekiti, Makamishna na Mtendaji Mkuu. Hawa wote wanatakiwa waombe hizi nafasi kwa ushindani. Je watendaji wa Tume Huru waliopo waliomba nafasi hzi kwa ushindani?.
 
Hizo ni ahadi za samia kwa busara zake ila bado hamridhiki.Mnatakaje sasa?.Unatakiwa ujue hakuna anayeweza kumlazimisha bali anapokea ushauri.Sasa kaona uko nyuma kuna mambo hayakukaa sawa bado mnaleta vikwazo vyakutuambia historia ambayo haiwezi kubadilika.Tunatakiwa tuanzia hapa kwenda mbela sio kutuletta ujinga wa magufuli alioufanya uko nyuma.
Naunga mkono hoja
P
 
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.

Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.

Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya.

Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia ya hayo [upatanishi, maridhiano, na katiba mpya].

Mimi nakataa katakata wao kunifanya mimi mjinga, zuzu, na mpumbavu.

Nakataa kwa sababu hao watu [CCM] wapo madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa na ifikapo 2030, watakuwa wamekaa madarakani kwa karibu miaka 70!

Wangekuwa na nia ya kweli ya kuyafanya hayo mambo, tayari wangekuwa washayafanya kitambo sana.

Katiba mpya ingekuwa ni muhimu kwao, basi ingeandikwa tokea mwaka 1992 tulipoingia katika mfumo wa vyama vingi.

Wao ndo walikuwa madarakani kipindi hicho lakini katiba mpya haikuandikwa.

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010, kelele za katiba mpya zilipozidi, hao hao CCM wakaanzisha mchakato feki wa kuandika katiba mpya.

Bunge la katiba mpya likaundwa. Rasimu ya katiba mpya ikaandikwa.

Kumbuka, haya yote yalianzishwa katika muhula wa pili wa Rais wa wakati huo.

Juhudi zote hizo pamoja na rasilimali zote zilizotumika kwenye huo mchakato, zikapotea bure.

Hakukuwa na cha katiba mpya wala shangazi yake na katiba mpya.

2015 tukapata Rais mpya na serikali mpya. Hoja ya katiba mpya ikatupiliwa mbali.

2021 tukampata huyu Rais aliyepo sasa.

Yeye akasema mambo ya katiba mpya yasubiri kwanza mpaka atengeneze uchumi.

Kichekesho. Ni kana kwamba hajui uhusiano wa katiba mpya iliyo bora na misingi ya kujenga uchumi ulio bora.

Jana wakati akitoa ahadi zake, akadokeza kuwa ataunda tume ya kushughulikia mambo ya katiba mpya!

Whoopdedoo 🤣.

Anatangaza mambo ya katiba mpya akiwa anaingia kwenye muhula wake wa pili.

Classic case of kicking the can down the road.

Kama historia muongozo, basi hakuna cha maana kitachotokea kuhusu kuandika katiba mpya.

2030 ikifika, watakuja na kisingizio kingine. 2035 huyo atayekuwa mgombea wao naye atatoa ahadi kama hiyo. Nayo itakuwa ni hewa tu.

Kama hamniamini, angalieni tu jina la sasa la tume ya uchaguzi.

Kelele zilipozidi, wakabadili tu kidogo jina la hiyo tume. Badala ya kuitwa tume ya taifa ya uchaguzi, wakaongeza neno moja tu, ‘huru’. Ikaanza kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi. Kutoka NEC mpaka INEC.

Hawa watu hawana soni kabisa.

Haya, tuje kwenye maridhiano.

Madhila yote kuhusu siasa na wanasiasa, yametokea chini yao.

Wangekuwa ni watendaji haki, kusingekuwepo na haja ya upatanishi na maridhiano.

Miaka yote hiyo wameshindwa kuwatendea vyema watu wengine halafu leo hii kwenye kampeni zao wanasema wataunda tume ya usuluhishi na maridhiano.

Hivi, si yalikuwepo yale mazungumzo ya maridhiano muda si mrefu uliopita?

Kama wameshindwa kuwatendea vizuri Watanzania kwa zaidi ya miaka 60, ndo wataweza kwenye miaka 5 ijayo?

Waende zao huko. Mimi nilishakataa huo uwendawazimu.

Tuombe tu JF iendelee kuwepo kwa miaka mingi ijayo ili tukumbushane.
🙋✍️🎯👏👍🤝🙏
 
CCM haiwezi kuja kutoa katiba mpya maana viongozi wao wana maovu mengi na wizi wa rasilmali za nchi watoe katiba itakayo wafunga wao wajinga mpaka damu imwagike kama Kenya ndo katiba inaweza kupatikana tofauti na hapo ni blaa blaa tu
 
Nenda katiki Oct mkuu, wanasema mama anaupiga mwingi
 
HAKIKA JF IENDELEE KUWEPO LAKINI ULAGHAI WA KIKWETE NA SAMIAH UNASTAHILI KUKOMESHWA KABISAA.
 
Eti upatanishi kwani CCM wamefanyia nini watanzania? 2015 Mzee mecco aliahidi hivyo hivyo alipoapishwa akapiga marufuku vyama vingi kufanya shughuli zake
Na Samiah akamfungulia Mbowe kesi ya ugaidi ambayo mtangulizi Magufuri hakuwahi fanya.Pia akamfungulia Lissu kesi ya UHAINI ambayo mtangulizi wake Magufuri hakuwahi fanya.
 
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.

Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.

Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya.

Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia ya hayo [upatanishi, maridhiano, na katiba mpya].

Mimi nakataa katakata wao kunifanya mimi mjinga, zuzu, na mpumbavu.

Nakataa kwa sababu hao watu [CCM] wapo madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa na ifikapo 2030, watakuwa wamekaa madarakani kwa karibu miaka 70!

Wangekuwa na nia ya kweli ya kuyafanya hayo mambo, tayari wangekuwa washayafanya kitambo sana.

Katiba mpya ingekuwa ni muhimu kwao, basi ingeandikwa tokea mwaka 1992 tulipoingia katika mfumo wa vyama vingi.

Wao ndo walikuwa madarakani kipindi hicho lakini katiba mpya haikuandikwa.

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010, kelele za katiba mpya zilipozidi, hao hao CCM wakaanzisha mchakato feki wa kuandika katiba mpya.

Bunge la katiba mpya likaundwa. Rasimu ya katiba mpya ikaandikwa.

Kumbuka, haya yote yalianzishwa katika muhula wa pili wa Rais wa wakati huo.

Juhudi zote hizo pamoja na rasilimali zote zilizotumika kwenye huo mchakato, zikapotea bure.

Hakukuwa na cha katiba mpya wala shangazi yake na katiba mpya.

2015 tukapata Rais mpya na serikali mpya. Hoja ya katiba mpya ikatupiliwa mbali.

2021 tukampata huyu Rais aliyepo sasa.

Yeye akasema mambo ya katiba mpya yasubiri kwanza mpaka atengeneze uchumi.

Kichekesho. Ni kana kwamba hajui uhusiano wa katiba mpya iliyo bora na misingi ya kujenga uchumi ulio bora.

Jana wakati akitoa ahadi zake, akadokeza kuwa ataunda tume ya kushughulikia mambo ya katiba mpya!

Whoopdedoo 🤣.

Anatangaza mambo ya katiba mpya akiwa anaingia kwenye muhula wake wa pili.

Classic case of kicking the can down the road.

Kama historia muongozo, basi hakuna cha maana kitachotokea kuhusu kuandika katiba mpya.

2030 ikifika, watakuja na kisingizio kingine. 2035 huyo atayekuwa mgombea wao naye atatoa ahadi kama hiyo. Nayo itakuwa ni hewa tu.

Kama hamniamini, angalieni tu jina la sasa la tume ya uchaguzi.

Kelele zilipozidi, wakabadili tu kidogo jina la hiyo tume. Badala ya kuitwa tume ya taifa ya uchaguzi, wakaongeza neno moja tu, ‘huru’. Ikaanza kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi. Kutoka NEC mpaka INEC.

Hawa watu hawana soni kabisa.

Haya, tuje kwenye maridhiano.

Madhila yote kuhusu siasa na wanasiasa, yametokea chini yao.

Wangekuwa ni watendaji haki, kusingekuwepo na haja ya upatanishi na maridhiano.

Miaka yote hiyo wameshindwa kuwatendea vyema watu wengine halafu leo hii kwenye kampeni zao wanasema wataunda tume ya usuluhishi na maridhiano.

Hivi, si yalikuwepo yale mazungumzo ya maridhiano muda si mrefu uliopita?

Kama wameshindwa kuwatendea vizuri Watanzania kwa zaidi ya miaka 60, ndo wataweza kwenye miaka 5 ijayo?

Waende zao huko. Mimi nilishakataa huo uwendawazimu.

Tuombe tu JF iendelee kuwepo kwa miaka mingi ijayo ili tukumbushane.
Sasa unabisha nini? Ulikuwepo? Hahahaha. Pinga pinga FC
 
Safari hii nina uhakika wataleta ''katiba mpya''. Lakini itakuwa mbaya kuliko iliyopo..... kila mtu aweke haya maneno. CCM sasa hivi iko kwenye hali mbaya sana na waliopo madarakani hawatakubali kuweka ushindani wa haki kwa sababu ni kujichimbia kaburi.... wakiondoka watashtakiwa kwa mengi. Hvyo watataka kung'ang'ania kwa muda mrefu kadiri iwezekanavyo... kwa kutumia kila silaha waliyonayo na katiba ni silaha muhimu sana sana....
Uko sahihi 100% Kama walivyofanya 2019 wakatunga sheria za kujiwekea kinga ili Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 waondoe wapinzani kwa sheria zao feki na pia 2020 wampitishe Magufuri bila kupingwa ionekane ni Rais anayekubalika kuliko marais wote waliowahi kuitawala Tanzania.Na mwisho wawanyang'anye CHADEMA Wabunge 19 huku wakiwawekea kinga za kila aina pamoja na kuwa hawakuwa Wabunge halali.
 
Back
Top Bottom