Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

Makamu hata huwa simwelewi! Huyu na mkoa wake masikini Kigoma atamaliza umakamu hajafanya lolote! Mkoa full majenereta na Wachina wakimaliza kujenga viwanda vya kuzalisha cement na nondo Bandarini ya kigoma ndo itakufa kabisa! Juzi kapita hapo Bandarini akielekea hifadhi ya Gome yaani hata kuongea na wafanyakazi wa Bandarini hawezi!
 
Unadhihirisha wivu wa Sokwe kule Gombe.
 
🤣🤣🤣🤣 Ila hata mimi kweli huwa sioni mantiki ya hili , na akirudi watakuepo pia kumpokea 🤣🤣🤣
Miafrika ndo iko hivo kazi kulialia na kujipendekeza! Hapo kapitia Zanzibar wameteta jinsi ya kwenda kukopa ili wagawane vizuri! Wadanganyika na wabunge wao hawapiga viti na kuchekelea tu!
 
Hama Nchi punda wewe! Hiyo chuki yako kwa Rais itakuua
 
Siyo kila kitu kukosoa tu. Tatizo ni nini kwa viongozi kumuaga Mhe. Rais?
 
Kwa taarifa yako hata wewe leo hii ukipewa urais utafanya hivyohivyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma
 
It’s a different culture

Ndio maana hata mgeni akina home huwa tunamsindikiza wakati anaondoka

Pia member wa family akisafiri we do the
Nyote nyumba nzima mpaka mfanyakazi ?

Na nyote mnaacha kazi zenu mfano mlisha mifugo badala ya kuwapa mifugo maji na chakula mnaitana kumsindikiza mgeni ?

Hata kama ni utamaduni kuna tamaduni nyingine zinabadilika kutokana na wakati ama sivyo kuna watu wangekuwa bado wanazikwa na wafalme...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…