Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli tupu zinapigwa haswaZipo eneo la malisho lazima mbuzi wapite nazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupu zinapigwa haswaZipo eneo la malisho lazima mbuzi wapite nazo
Hapo utakutwa imepigwa 1BDaah...! Hii nchi kweli ni kama tumerogwa na imebaki hii tu inafanya haya mauchafu. Yaani kama hivyo kwenda kumuaga na kumpokea tayari kuna fungu la posho la kumpokea rais.
Aibu tupuUtamaduni wa watu wavivu.
Potelea mbali.
Hata wangebaki maofisini kwao hakuna wanachozalisha.
Wako hapo tu kujaza ombwe la wakati.
Tatizo hapa ni Kodi za wananchi zinavotumika vibaya:Siyo kila kitu kukosoa tu. Tatizo ni nini kwa viongozi kumuaga Mhe. Rais?
Huku kwetu tungeona mabunduki ya kila aina kumlinda kiongozi lakini wao wamevaa suti as if wote bu waheshimiwa
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!

Kwani jiwe alikuwaje?....mbona hukusema Nchi limeoza majitu yaliyomo mamlakani hayawa uwezo wakufikiri zaidi yakua udu watu
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!
Hakuna cha utamaduni wala nini.
Ni ushamba tu.
Vest acha ugomvi na marehemu,magu ni mtume mwingine alichokifanya nchi hii itasubiri sana kabla haijapata mrithi sahihi.Ushamba huu alianza yule dikteta uchwara,alipoteza muda mwingi kukusanya viongozi wote wa wa juu wa Serikali kila kwenye shughuli ndogo tu ambazo hazikuhitaji jumuiko kama hilo.
Kabla hajaingia madarakani shughuli kama za kuwaapisha viongozi wa ngazi mbali mbali tulikuwa tunaziona tu kwenye taarifa za habari na kusoma kwenye magazeti lakini Mhutu alikuwa anasimamisha hata matangazo ya vyombo vyote vya habari ili aonekane yeye nchi nzima, huu ni ushamba.
Ushamba huu alianza yule dikteta uchwara,alipoteza muda mwingi kukusanya viongozi wote wa wa juu wa Serikali kila kwenye shughuli ndogo tu ambazo hazikuhitaji jumuiko kama hilo.
Kabla hajaingia madarakani shughuli kama za kuwaapisha viongozi wa ngazi mbali mbali tulikuwa tunaziona tu kwenye taarifa za habari na kusoma kwenye magazeti lakini Mhutu alikuwa anasimamisha hata matangazo ya vyombo vyote vya habari ili aonekane yeye nchi nzima, huu ni ushamba.
Za kienyeji,wanaochezaga kule terminal one kumuaga au kumkaribisha kiongozi
Labda anatuaga watanzania. Maana kumuaga CDF na IGP siyo kawaida.
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!
Huyo Mh Kuna kitu alikufanya si bure, hapa anaongelewa Samia jitu inakurupuna na hayati. Magufuli anahusikaje hapa?Ushamba huu alianza yule dikteta uchwara,alipoteza muda mwingi kukusanya viongozi wote wa wa juu wa Serikali kila kwenye shughuli ndogo tu ambazo hazikuhitaji jumuiko kama hilo.
Kabla hajaingia madarakani shughuli kama za kuwaapisha viongozi wa ngazi mbali mbali tulikuwa tunaziona tu kwenye taarifa za habari na kusoma kwenye magazeti lakini Mhutu alikuwa anasimamisha hata matangazo ya vyombo vyote vya habari ili aonekane yeye nchi nzima, huu ni ushamba.
Sijui bhana labda tunatofautiana uelewa,kwa uelewa wangu nchi sio kibandaumiza kwamba ukiwa kama mkuu wa nchi usafiri bila kuketi na wasaidizi wako wote wa sekta nyeti za nchi na kuwaachia majukumu.
Pia familia bora inapotokea mkuu wa familia mf.baba au mama anasafiri safari ya mbali lazima akae kikao japo kidogo na atakaekaimu uendeshaji wa familia na ikitokea nafasi ya kumsindikiza mpaka kituo cha kupandia usafiri sio dhambi kwa desturi zetu sisi wasukuma na pengine watanzania wote