Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Hapo ana kosa gani, katumia mikono kugusa sehemu yake ya chini kwa mbele.
 
Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.

Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.

Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.

Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.

Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Mbona wewe saa ya kufanya mapenzi huwa unavua nguo zote na Basata hawaangaiki na wewe, tena unabeba mimba na kutembea nayo hadharani?
 
Tulia we mzee Kwa hiyo hapo we bibi ulitaka afanye show akiwa amevaa juba au kininja.,
Halafu nyie watu wa hizi imani wanafiki sana yaani dhambi ya kuimba mambo ya kidunia mmeikubali halafu hii ya kucheza uchi jukwaani mnajifanya mnawasema bakwata, idiot.
Aliyekwambia dhambi ya kuimba waislam wameikubali ni nani?
 
Back
Top Bottom