Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umaskini na magonjwa ni zao la mwovu shetani. Ukipata code ya kuwafungua ule umaskini Totoro na magonjwa ya kipepo yatatoka watamfurahia Mungu.Usipowaondolea tabu zao!?
Afu na wewe ukute masikini tuuhh...!
Wawe na wewe tu.
How!?
Sijaona tatizo hapo mbona
Mbona wewe saa ya kufanya mapenzi huwa unavua nguo zote na Basata hawaangaiki na wewe, tena unabeba mimba na kutembea nayo hadharani?Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.
Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.
Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.
Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.
Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Chochote alichoonyesha kinahalalisha kubakwa?Huko alikoonyesha kuna nini na nini vitaje
Na kiingereza unajua kumbe? Ila hujui kua hata mtu atembee uchi haihalalishi kubakwa?Aisee!!
I'm out of Words.
Aliyekwambia dhambi ya kuimba waislam wameikubali ni nani?Tulia we mzee Kwa hiyo hapo we bibi ulitaka afanye show akiwa amevaa juba au kininja.,
Halafu nyie watu wa hizi imani wanafiki sana yaani dhambi ya kuimba mambo ya kidunia mmeikubali halafu hii ya kucheza uchi jukwaani mnajifanya mnawasema bakwata, idiot.
Huu ni utashi wa mtu mwenyewe kama una akili fupi ndio atakuzuzua.
Msanii sauti kama namywa pombe kali