CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana
Sasa kubwa zaidi wamechukua gazeti kubwa la Scotland liitwalo the Scotsman la March 1 2021 waka-edit na kupachika maneno yao yenye english shallow na fonts tofauti zinazotumika na kuweka habari yao wakijifanya ni la 1/11/2021
Ni kina nani hawa jamani toba, mbona hii nchi ina ushamba sana? Ukiangalia juu kulia utaona habari ya mskochi aitwaye Ian st John mchezaji wa zamani wa Liverpool aliyefariki mwezi wa pili mwishoni, kuna habari ya interview ya Andy Murray ya mwezi wa tatu, kuna habari za matumaini kwamba lockdown inakaribia kuisha
Sasa siku nyingine mki edit tafuteni website za kuulizia wahat font is this,chukua kipande cha gazeti linganisha fonts basi na english inyooke
***nitasikitika sana kama kuna watu watakuwa wanalipwa kwa kazi hizi za makorokocho nilidhani huu ujinga uliishia awamu ya tano hadi TBC wakatangaza ile habari ya trump
*UPDATED, GAZETI LA SCOTSMAN MARCH MWAKA HUU WALILO EDIT, NA GAZETI HALISI LA JANA NOVEMBER MOJA