Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

Na wakurungwa wametoa pesa hapo wakapigwa. Bongo upuuzi na upunguani wa social economic development ni Mkubwa saaaaanaaa,
 
Nawaonaga Wana CCM kama wendawazimu Fulani hivi, I am sorry to say
 
Atakuwa aliyeedit hivyo yule Jasusi wa Scotland aliyekimbia nchi.
 
Huo unaitwa ulimbukeni wa kiwango cha SGR, ili aonekane kwamba ana hit headlines kwenye international news media, siyo?
 
Huo unaitwa ulimbukeni wa kiwango cha SGR, ili aonekane kwamba ana hit headlines kwenye international news media, siyo?
Nitasikitika sana kama hawa watu wanalipwa kwa kazi duni hivyooo, yaani nilivyofulia si wangenipa hiyo kazi mimi ya ku forge hayo madude? accuracy yangu ni 90%
 
Nitasikitika sna kama hawa watu wanalipwa kwa kazi duni hivyooo, yaani nilivyofulia si wangenipa hiyo kazi mimi ya ku forge hayo madude? accuracy yangu ni 90%
Huoni leo kwenye hotuba yake kasema geothermal na solar power generation imetoka 43% Hadi 70%
Aisee Hadi aibu
Sijui wapi huko, au mama sio raisi wa tanzania
Bado najiuliza ni kwamba hajui chochote, hivyo akiandikiwa tu anaamini?
 
CCM ilishaishiwa hawana tena la maana la kuiambia dunia na watanzania zaidi ya kufanya uchimvi
 
Nitasikitika sna kama hawa watu wanalipwa kwa kazi duni hivyooo, yaani nilivyofulia si wangenipa hiyo kazi mimi ya ku forge hayo madude? accuracy yangu ni 90%
Kwani Mnyika kakudhulumu bando lako? Mbona mwenzio mmawia anaandikaga ujinga humu na bado anarushiwa bando na katibu mkuu. Jaribu kuongeza tena chumvi kidogo huenda na ww utafikiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…