Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

Uko sahihi sana Boss! Tumekuwa na mtindo wa kutafuta sifa za kijinga. Hata akina Msigwa sasa wanaleta rais akisema yes! Yes! Yes! mbele ya Prince Charles. What for? Kwani rais amekwenda kupiga picha? Yule mama wa Barbados ndo kato hotuba ya kiutawala na viongozi wengine wameelewa. Sisi bado rais wetu anahangikia kujitambulisha kwa picha.
 
Mhurumie huyu mtu Mr Dudumizi nguo zimemvuka lakini bado hataki kuchutama. Nadhani hayuko sawa upstairs, maana ni aibu kuupinga ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu. "system" yote imechanganyikiwa.
 
Yawezekana anatumia nokia ya kitochi haionyeshi picha.
 
Unaibiwaje kibwege weye umetuliza kiuno tu?Halafu waliibiwa mababu.Kwa hiyo ni kama unalazimisha kurithishwa baiskeli ya babu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…