Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
 
Ungejitokeza mstari wa mbele kupambania unayoyasema.
 
Hakuna kilichofanyika mpaka hapo au unafikiri wameafanikiwa wapi ?
 
Na wewe unayeandika JF kwa fake ID pia ni muoga
 
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
Hapo mwisho sema
"CHADEMA KIMYA"
watanzania wenye akili timamu wanaendelea na uzalishaji mali kila iitwapo leo..
Watanzania si mazwazwa Wawapiganie matapeli na vibaka wa kisiasa!
 
Hiyo ruzuiku iliwasaidia nini wananchi wa kawaida kama sio kujengea maghorofa huko machame
Ujinga wa watu wanapenda kuona wanachosimuliwa huko ulaya wanaposikia maisha ni magum kisen....... pesa haina thamani dhidi ya mifumuko ya bei + kodi hapa wanakula ugali maharage wanajiona kama vile wamekosa kitu.

nyakati ikifika ndiyo watajua hawajui.
 
Wewe umechukua hatua gani? Na unamsubiri nani achukue hatua badala yako?
 
Ndo maana nimesema tumerogwa, yaani pamoja na mimi nikiwemo kwa sababu sijachukua hatua yoyote ile.
 
Kile kizazi cha kina Mwamwindi kimetoweka na kwa Tanganyika hakita rudi tena.
Kosa tulilofanya ni kuungana na Zenji, wale ni watu mdebwedo kwa asili na wameambukiza hizo tabia Watanganyika.
 
Humphrey Polepole kalianzisha, Godbless Lema anaenda kumshambulia TENA. Nimekosa imani na Lema. Hiyo ilikuwa ni njia ya CHADEMA kuokota pointi tatu za mezani kama kipindi kile cha Lowassa.

Lema alipaswa aunge tela kwanza, ashambulie akitokea pembeni. Yeye tena anashambulia kurudi nyuma. Kuwa mkongwe wa siasa si kujua kila kitu. Yaani kaungana na Fisiemu kumshambulia Polepole — hizo ni akili?

Ona sasa, CCM wamemuachia Lema atumie bando lake mwenyewe kulumbana na Polepole. Wao wanaangalia. Dah, imenifikirisha.

Sina imani na Lema tena. Inaonekana wakina Msigwa wapo wengi. CHADEMA tunarudishana nyuma, wakuuu. Muda uliopo hatuitaji kufanya kosa!

Kwishaaaaaaa!
Bro Alex on da beats, yoow.
 
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
La mwisho ndio umepatia..
 
Kile kizazi cha kina Mwamwindi kimetoweka na kwa Tanganyika hakita rudi tena.
Kosa tulilofanya ni kuungana na Zenji, wale ni watu mdebwedo kwa asili na wameambukiza hizo tabia Watanganyika.
Mkwawa alipambana na Wajerumani na kwa mara ya kwanza aliwashinda. Ikumbukwe kuwa, Wajerumani walitumia silaha za moto lakini yeye alitumia silaha za jadi lakini aliwasumbua kwa kiwango cha juu sana.
 
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
Yaani kama vile umedukua mawazo yangu!! hivi haya yanayo endelea si ni kufungia chama kwa kutuma Mahakama!? Ifeke muda kama Mahakama haitendi haki, hamna sababu ya kutii amri zao!! Tukinukishe tu.
 
Back
Top Bottom