Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
HAWAM NDIYO WATANZANIA AU ULIKUWA HUWAJUI
 
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
masaibu ya CDM, usijumuishe watanzania woote kwa kuwalaumu, waulize wanachama i.e waumini wa sera za CDM, dont generalize
 
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.

2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.

3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya.

4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania kimya.

5. CHADEMA wamezuiliwa kusafiri kwenda nje ya Nchi, Watanzania Kimya.

6. Nasikia Account za CHADEMA zimefungiwa, Watanzania kimya.

Mimi naamini Agenda ya CHADEMA ni Agenda ya Watanzania kwa sababu wanazungumzia mambo yanayowahusu Watanzania wote.

Najiuliza, sisi Watanzania ni MISUKULE au ni watu tunaotembea tu lakini ubongo ulishanyofolewa kitambo?
Ni maiti kabisa
 
Huyu mwamba alimdharau sana mjomba magu kipenzi cha watanzania hivyo wacha lolote limtokee watanzania wanakumbukumbu zote.
 
nenda twitter mkuu ukaone vurugu zao, nje ya twiter hakuna kitu
 
Back
Top Bottom