toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Daah aisee kazi ipoKumbe wahenga waongo si walisema “Kipele kimepata mkunaji” sasa mbona ww unakunwa unasikia uchungu tenah..!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah aisee kazi ipoKumbe wahenga waongo si walisema “Kipele kimepata mkunaji” sasa mbona ww unakunwa unasikia uchungu tenah..!!!??
😅😃😀Picha Mkuu, hata juu juu tu
huo muda wote dada yangu kwanini hujaenda kwa gyno? nenda hospitali haraka.Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa).
Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia maanani.
Ila kadri siku zinavyozidi kwenda nikaona hakuna dalili ya kupona.
Iko hivi:
Nikifululiza kujaamiana may be wiki, basi hiko kipele huanza kuuma kiasi cha kwamba uume ukiingia nahisi kama nachanika.
Ila nikiacha kujaamiana, huwa sisikii maumivu kabia. Nimekuwa mtumwa wa kutumia mafuta ya mgando wakati wa kujaamiana maana nikisema nisipake kitu naumia sana wakati wa tendo.
Kuna wakati nilipata UTI, nilivyomaliza dozi, nilipata afueni na hiko kipele. Nilikaa kama mwezi bila kuhisi maumivu wakati wa tendo. Ila mwezi ulivyokata tu nikiingiliwa ni maumivu.
Huwa nikilala chali na kuingiza kidole cha shahada ndani ya uke upande wa kulia nakishika, ni kama mfano wa kinyama kinachoteleza ila chenye ugumuugumu.
Sijajua ni nini.
Probably uko sahihi Kabisa inaweza Kuwa Unachofikiria Au kisiwe unachofikiria..Exactly, Huyo akafanye Papa Nicolau smear test mapema, na tests zingine.
watu weusi hawako makini linapokuja suala la afya. ni maneno ya tafiti.AmKATRINA unakaa miezi 6 na ugonjwa ambao huuelewi ukeni kweli..??
Namna kuna magonjwa mengi mno sikuhizi na yanatisha hasa, how can you be comfortable and neglect that..??
😂😂😂 Wahenga waongo sana!!Daah aisee kazi ipo
Haya bwana 😂😂😂😂 Wahenga waongo sana!!
Kwani nani hajui akiumwa anatakiwa kwenda hospitali? Yeye kaleta hapa toa jibu la kitaalamu kama uliishia la saba B kaa kimya.
Hongera mtu serious lakini mjinga wa mwisho.Ukitoa jibu hapa la kiafya kwa hili swala ni kwamba hujui unacho kiongea. Mambo ya Afya sio ya kiki au uchawa wenu ni serious. Kumwambia aende hospitali kwa swala hili ndiyo ushauri vinginevyo ni utoto na ujinga jinga kama wenu. Inabidi tufungue chemba hapa ya watoto, machawa, na watu wa kiki mtuachie watu serious JF .
Wee ARV huwenda mimi humu ndo peke yangu nimekuelewa..Hongera mtu serious lakini mjinga wa mwisho.
Uwii, kumbe sikuwaletea mrejesho.Mrejesho?
Antenna ipi hio?wakati wanakitoa nilipokitazama nikajua wameng'oa antena yangu🤭
Kwa hio wameondoa masega yote au wamesema kitaota tena kisije kikawa kisunzua ukikata kinaota kikubwa zaidi ya kileNilijua wanang'oa kinembe (kisimi)
Hapana, wametoa mpaka mzizi na ndio maana nilipewa dawa ya usingizi..Kwa hio wameondoa masega yote au wamesema kitaota tena kisije kikawa kisunzua ukikata kinaota kikubwa zaidi ya kile