Kaombe hayo majani kwa jirani yawe mengi then tafuta sehemu safi ndani uyaanike yasipigwe na jua, ukaukaji wake unachukua siku nyingi kwasababu hayatakiwi kukaushwa juani, ukiona yameshakua makavu twanga then chekecha upate unga laini utakua tayari kwa tiba.. unaweza kutumia kwenye maji ya moto, uji au chai, wengine wanachanganya na asali kwa matokeo mazuri zaidiHapa mtaani upo huo mti, sija jua tuu namna ya kuandaa huo unga, itabidi nijifunze namna ya kuuandaa. Asante sana nimefarijika mno
Upo hapa dar Mkuu ?!Ila huo unga wa mlonge niliutengenezaga mwingi nikatumia ukanisaidia sana after kupona nikauacha unazagaa tu then leo nakuta habari kijiko kinauzwa buku!? kumbe nachezea fursa ngoja niingie chimbo🤣
Asante sana Mkuu kwa maelezo yaliyo fresh.Kaombe hayo majani kwa jirani yawe mengi then tafuta sehemu safi ndani uyaanike yasipigwe na jua, ukaukaji wake unachukua siku nyingi kwasababu hayatakiwi kukaushwa juani, ukiona yameshakua makavu twanga then chekecha upate unga laini utakua tayari kwa tiba.. unaweza kutumia kwenye maji ya moto, uji au chai, wengine wanachanganya na asali kwa matokeo mazuri zaidi
Yeah nipo darUpo hapa dar Mkuu ?!
Milonge nimepanda mingi sana ila wanakula tu mbuzi mimi naicha siitumii kumbe ni dawa nzuri.Mkuu pole sana,mimi huo ugonjwa kwa mwaka 2016-2020 umenitembeza sana hospital,ndanda hospital,(mtwara) baada ya kupewa referral kutoka Liwale-Lindi,ndanda walishindwa, ni kaandikiwa kwenda Mhimbili huko nilibainika kuwa na ugonjwa /tatizo kama lako,nilipewa dawa nyingi sana,zingine zilitaka kuniua.
Tatizo halikusha,ikabindi niende aghakani hospital,wapi,nikaenda hindu mandal-Mwanza wapi,nikaenda bugando hospital nikakutana na Doctor majimbe, niseme huyu ndo alikuwa chanzo cha mimi kupata nafuu,alinishauri kuhusu lishe,kula kwa wakati, sikupewa dawa nyingi sana ,pia alinikataza kunywa soda,kula maharage,maziwa,ndizi kwa namna zake,sukari nyingi kupita kiasi,pia kutoruhu hasira na huzuni ndani ya moyo wangu.
Baadae tatizo lilirudi tena,nikakutana na mtu akanishauri nitumie mlonge,ikumbukwe kwa wakati huo,nilizuiliwa kunywa soda, ndizi hapana,mboga iliyoungwa kwa viungo vingi hasa nyanya hapana,maharage, dagaa ,chakula kilicho lala nk.baada ya kutumia mlonge wa kununua kwa mwezi mzima nikianza kupata nafuu,nikaamua kuupanda huu mti nyumbani kwangu,nikaendeleza doazi kwa miezi miwili mfululizo ,hiyo ilikuwa kwaka 2021.
Baada ya hapo nikaanza kula maharage,maziwa nakunywa soda,dagaa nakula bila shida nk.
Ushauri wangu ni kuwa utashauriwa kuuziwa madawa mengi sana ya kienyeji lakini ni bure maana yanaweza kukuletea shida nyingine,hivyo mmea ambao madhara yake hayajathibitishwa kisayansi,kwani hata hao wanasansi wana usifu hadi sasa ni mlonge ,utumie huu mmea uone ,naimani utapona kabisa.
Mimi sasa nakula kila kitu ambapo hapo awali nilizuiliwa
Sehemu ulipo kuna hiyo milonge maana nimerudi mtaani nimekuta milonge yote haina 4 haina majani kumbe watu wanachuma aiseeYeah nipo dar
Huku nilipo nimeiona maeneo kadhaa haiwezi kuwa adimu kiasi hicho coz watu hawana interest nayo sana walaSehemu ulipo kuna hiyo milonge maana nimerudi mtaani nimekuta milonge yote haina 4 haina majani kumbe watu wanachuma aisee
Umesha anza tengeneza unga kwani, au lini waenda chuma nije tusaidiane tengeneza Mkuu ?Huku nilipo nimeiona maeneo kadhaa haiwezi kuwa adimu kiasi hicho coz watu hawana interest nayo sana wala
Kama upo dar, ukiwa unakuja bagamoyo kipandr kidogo kabla ya kufika bagamoyo mjini kuna sehemu inaitwa Kitopeni. Hapo milonge ni mingi sana ipo imezagaa tu barabarani. Unaweza chuma bure kabisaa.Umesha anza tengeneza unga kwani, au lini waenda chuma nije tusaidiane tengeneza Mkuu ?
Achana na hizo dawa za hospital.Kabla ya kula kwa maana tumbo likiwa empty au baada ya kula ndiyo ninywe iyo dawa, maana dawa nyingine si unajua zina masharti uta ambiwa kula kwanza au nyingine usile kwanza. na kama kuna tahadhari nyingine juu ya hiyo dawa naomba niambie ili nianze hiyo dozi. Pia swali langu naweza tumia huo mlonge uku nikiendelea kumeza hii dawa ya hospital ya antiacid au wewe ulikuwa hautumii kabisa antiacid. Asante sana
Acha uchafu wewe. Chukua mkojo wako wa asubuhi nenda nao maabara halafu mwambie yuke lab technician akuonyeshe kilichopo kwenye mamikojo yako.Kunywa maji ya birika lako mwenyewe kama wewe ninmwanamme na kama ni mwanamke kunywa ya kisima chako mwenyewe kama aandikivyo mfalme Suleiman mithali 5:15,
Hiyo ni tiba ya urine therapy inayotumiwa na wachina na wahindi Kwa miaka mingi sana!!
Unakunywa ule was asubuhi na mapema saa kumi na mbili,au na Moja au saa kumi hata lita Moja au nusu lita! Kutikana na uwezo wako!!
Hakuna hospital inayotibu vidonda vya tumbo zaidi ya kutuliza TU vina rudi!
Kunywa Kwa siku saba!
Case study;-
Nilikua naamka usiku wa mane tumbo linauma na kukata sana yaani silali Hadi asubuhi,siku moja staff member akaniambia hebu kunywa Omeprazole likitulia ujue ni vidonda vya tumbo!
Bas siku nikanywa likatulia nikajua ni huo mzigo!
Nilichaeki Makala YouTube ya tiba ya mkojo wako mwenyewe nikaona kinyaa,then nikagoogle urine therapy nikakuta andiko na mzungu mmoja alianzisha huo utaratibu na wachina na wazee was zamani walitumia sana,nilitumia hiyo kitu Hadi leo sijahisi maumivu tena!!
Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.Hapa mtaani upo huo mti, sija jua tuu namna ya kuandaa huo unga, itabidi nijifunze namna ya kuuandaa. Asante sana nimefarijika mno
. UbarikiweKama upo dar, ukiwa unakuja bagamoyo kipandr kidogo kabla ya kufika bagamoyo mjini kuna sehemu inaitwa Kitopeni. Hapo milonge ni mingi sana ipo imezagaa tu barabarani. Unaweza chuma bure kabisaa.
Asante sana Mkuu. Nime kuelewa vizuri sana. Nime kuwa nikijitahidi sana kibadilisha vyakula naona matokea siyo mabaya mkuu. Nita endelea kukazia mpaka kieleweke.Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.
Mlonge longe ni mti tu na unalishe ya kawaida ambayo ina benefits mwilini, tumia tu kama kichangizi cha tiba ila sio utegemee ni dawa kwa asilimia 100% .
Focus yako kwa sasa iwe ni kutia mwilini vyakula ambavyo vinapambana na utengenezaji wa haraka wa tindikali ambayo ndio inakutesa. It means umekuwa unakula vyakula acidic kwa muda mrefu bila balance.
Unakuta mtu asubuhi anakunywa chai ya rangi na maandazi, mchana anakunywa Pepsi au coca-cola zaidi ya tatu, usiku anakula wali au ugali maharage na nyama ya mchuzi au samaki wa mchuzi wa nyanya, na huo utaratibu ni kila siku, mara beer. Ukishikwa kiu unakunywa yale maji ya dukani haya ya kununua ambayo kwa miaka hii mengi yanatengenezwa vichochoroni ma wahuni wanaoyaweka dawa ambazo hazizingatii viwango na yanakaa sana store kiasi kwamba dawa zinareact na joto na kuleta madhara mwilini kama hayo unayopata.
Badili tu utaratibu wa kula utaona majibu haraka sana. Nakusisitiza vinywaji vya kiwandani ikiwamo soda, juice, bia achana navyo kabisa.
Nitarud ngoja nikafuturu1. Kuanzia leo anza kutengeneza maji ya bamia yaani unachukua bamia zile unakatata unazitia ndani ya jagi lenye maji kuanzia lita mbili au tatu unaweka kwenye friji kama umeziloweka hivi.
Asubuhi ukiamka unakunywa glass moja kwenye tumbo kavu. Kunywa taratibu kidogo kidogo sana ili usipatwe kichefu chefu. Then mengine unywe mchana kabla ya kula chakula kwenye tumbo kavu lile la njaa.
Na kila muda ukisikia hayo maumivu makali kunywa hayo maji ya bamia utakayotengeza kila wakati. Hakikisha unakunywa zaidi kwenye tumbo kavu.
Bamia itakusaidia kuirepair kuta za tumbo au utumbo ambazo zimeathiriwa na acid tumboni na kusaidia kuvipa vidonda layers repair.
2. Kula matikiti maji especially kabla ya chakula. Ule kwa kadiria ya uwezo wako. Tikiti maji lina maajabu ya kuwa na maji mengi ambayo kwa components zake yatapenya hadi nandi kabisa ya tissues zako mbali mbali mwilini na kuupa mwili supply ya maji haraka kuliko ukiyanywa haya ya kawaida. Maji ya tikiti yatakusaidia ku neutralize acid na kuipunguza nguvu katika level ya damu na hivyo kuanza taratibu kuzima makali yake huku ikiitokomeza.
Kula matikiti maji na juice yake kadiri unavyoweza usikatie tamaa fululiza hata miezi ukiyala utapata nafuu yako.
3. Achana na chai ya rangi, juice au vinywaji vya kiwandani especially soda hizi kama Pepsi, coca-cola, sijui mo energy bia zote unazozijua yaani kinywaji chochote cha kiwandani achana na nacho usiguse ndio sumu. Maji haya ya kununua ya chupa si salama kwako. Tumia sana maji ya nyumbani ya kuchemsha au kata kiu na tikiti maji au tikiti lenyewe kama nilivyokuelekeza pale juu.
4. Ukipikiwa au kupika mboga yoyote itakayotiwa nyanya then hakikisha mpishi au wewe mwenyewe unaweka kitunguu swaumu kingi sana sababu kitunguu swaumu kinakata acid ya nyanya na kuifanya less effective mwilini.
5. Achana na hizo dawa za anti acid huwa ukiacha zinasababisha acid inarudi kwa kasi sana mwilini so achana nazo na zingatia chakula sana.
6. Mboga za majani kama mchicha, spinach, na mboga mboga zinginezo ziwe sehemu kubwa ya lishe yako kwa kifupi anza kuwa vegetarian kuanzia sasa.
Ukifanya hivi kwa muda wa mwaka, ukiendelea kuumwa nitafute tupigane.
Kwani akila nyama isiyo na viungo kuna tatizo ?Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.
Mlonge longe ni mti tu na unalishe ya kawaida ambayo ina benefits mwilini, tumia tu kama kichangizi cha tiba ila sio utegemee ni dawa kwa asilimia 100% .
Focus yako kwa sasa iwe ni kutia mwilini vyakula ambavyo vinapambana na utengenezaji wa haraka wa tindikali ambayo ndio inakutesa. It means umekuwa unakula vyakula acidic kwa muda mrefu bila balance.
Unakuta mtu asubuhi anakunywa chai ya rangi na maandazi, mchana anakunywa Pepsi au coca-cola zaidi ya tatu, usiku anakula wali au ugali maharage na nyama ya mchuzi au samaki wa mchuzi wa nyanya, na huo utaratibu ni kila siku, mara beer. Ukishikwa kiu unakunywa yale maji ya dukani haya ya kununua ambayo kwa miaka hii mengi yanatengenezwa vichochoroni ma wahuni wanaoyaweka dawa ambazo hazizingatii viwango na yanakaa sana store kiasi kwamba dawa zinareact na joto na kuleta madhara mwilini kama hayo unayopata.
Badili tu utaratibu wa kula utaona majibu haraka sana. Nakusisitiza vinywaji vya kiwandani ikiwamo soda, juice, bia achana navyo kabisa.
Magumashi.Kunywa maji ya birika lako mwenyewe kama wewe ninmwanamme na kama ni mwanamke kunywa ya kisima chako mwenyewe kama aandikivyo mfalme Suleiman mithali 5:15,